Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Wale maadui mchele mchele wa kazi gani mimi?? Wanachokiweza kuombea ban ili watingishe vibinda nkoi vyao humu.!! 😂😂😂

Wasingeripoti km wanajiamini waone
woooiii,,kwanza ulikua unawazodoa kiuoga sana,, ingekua mimi hakika ningepewa ban ya life😂😂 ndoman sipendi
 
Kiuoga nilimpa moja hilo la ukweli hakafu la moto limemchoma mpk maini, chap kwa mod hiiiiiii momy kanidhalilisha 🤣🤣🤣

Hebu niache nisije kuachia lingine la fisadi kiwembe akakimbia tena kusemelea tunawanyanyapaa na haki zao za upinde
mbona sikuona na nilkua sambamba na ule ugomvi 🤣🤣🤣
 
😂😁😁Kuna mdau alipigwa kipigo kina muuma roho hadi anaishia kusonya Sonya 😂😁 pruu mpaka chini kipigo awe na adabu
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️
 
Sitaki tena ushikaji na Wewe mwenzio kaniignore huyo anaujua Moto wangu hauzimwi na yoyote humu nikiuwasha Wewe unatafuta pa kujifichia
😂😂😂😂 Hakuogopi bana.
Kwahiyo ushkaji umeisha??
Basi poa
 
Back
Top Bottom