Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
nshazikwa kitambo sana ๐คฃ๐๐๐๐ Mazishi lini??
karibu,,ila liwe la garama๐๐๐๐๐๐ Basi nakuja kukuwekea mashada
๐๐
Hutaki au wivu๐๐๐๐ Marehemu anachagua ua la gharama?? Khaaa!!
unanchokoza sio๐๐๐๐๐๐๐๐ Weee kuna mtu namkabidhi aku flash kwanza BICHWA KOMWE -
Duuuh๐๐๐๐๐ Niliona kule anasema nimejiita mwenyewe nilicheka sana eti anaomba msamaha ๐๐๐๐๐๐ eti atakuwa mwema
Nini tena?Acha umbea na majungu utakuja ugongwe na nyoka za mininga
nitaamka jikutukaneee wewe ๐๐Nakuletea la afu tatu ๐น๐น๐น
Ushaninyongea hilo jani la bob??Nini tena?
Kama kawa mkuuDuuuh
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ HahahahaAcha umbea na majungu utakuja ugongwe na nyoka za mininga
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พAcha bwana๐๐๐๐๐ Niliona kule anasema nimejiita mwenyewe nilicheka sana eti anaomba msamaha ๐๐๐๐๐๐ eti atakuwa mwema
ila sio ya dzilingi dzidatu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ ua ni ua kikubwa upewe maua yako.
afu nakuona tu,, unataman unionje mwenyewe,, weuuuweeeeee achs kabisa ๐๐๐๐๐๐๐๐ Yaisheee..
Et nae sa hvi anajikuta wa moto