Mention someone without any reason just to disturb them

Nashindwaga kuelewa na kuzoea hili sijui ni baridi au ni upepo ila upepo wa Dodoma ni hatari unanyanyua Hadi mchanga unakuchapa nao πŸ˜ͺ
Polee sana Odo πŸ˜‚πŸ˜ njoo huku kigamboni basi
 
Miss R mwenzako hali mbaya au mtafurahi nikibaki dodoma huku
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
tz kubwa sana kijana,, kwan wewe ni mgogo ,,kama sio kwenu,,rudi kijijin kwenuπŸ˜‚πŸ˜‚ over
 
Huyo alinivunjia simu juzi baada ya kukuta nachat na Sabrina niliyekutana nae sabasaba majuzi πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ kavunja Tambo la laki 4😭
Mchaga bahili JF nzima yule nguvu za kuvunja simu anatoa wapi? Ameanza lini kuwa na wivu?
 
😹😹😹 Wanaume wajinga sana wanahisi ndoa km ni kitu special sana.!!
Kwamba mwanamke anaiwaza ndoa muda wote, kumbe wenzao tunawaza vitu vingine kabisa.
aaaah haya mabadiliko yetu yanawachanganya sana ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…