Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Wewe nawe msubiri mkeo arudi mmalizane [emoji23]
Nasikia uko kunyapia, uko huru ss hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii bora anyapie kwa mama mtumishi, kuna matoleo mapya mjini ni nyaku nyaku hao hatarii, na wameaga kwao vyemaa.

Yaan uduguuu angu akirudi, sijui ataanzia wapiii.
 
Aloo! Mkeo kashakuambukiza umbea [emoji23]
Unaendeleza kashkashi zake!
Km mie huyo ex wangu nilimchachua na kumchangamsha mwenyewe, cha ajabu kapitiliza kuchachuka ananishandua had mie mwenyewe mkufunzi wake.

Dipiii weldi wachukue had nchi kavu, sio bandari tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waache wapendanao hao [emoji23]
Kwanza unataka kujua nini?
Yako yanakushinda, ya wenzio utayaweza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Wapendanao km wapendanao
 
Kipenzi changu
Punguza wivu
Hakuna kuchepuka hapa
Huyu ni mdogo wangu sweetheart nashangaa kwa nini ananiita tena shemeji
Ooh hapo sawa sweetheart [emoji8]
Moyo umetulia now

How is your morning my love
 
Back
Top Bottom