Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗

Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜
Babuuu,Mimi sikuwezi wewe Mzee wa mjini,wewe Kwa story zako itakuwa unakunywaga alkasusu na mchuzi wa pweza😂😂😂.....
 
Back
Top Bottom