Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

200 chap dogo avimbe nalo uswazi mwaka mpya[emoji1545]
 
hivi siwezi kupata za watu wazima kuanzia miaka 27 hivi mpaka 45 ila bei icheze humo humo laki tatu na ishirini naweza mwaka mpya nikauanza kivingine

nasubiri majibu
Kuna Liquid nauza ukinunua hiyo liquid ukapaka kwenye hako kagari ka huyo jamaa gari ina expand kua kubwa. Chupa moja ya lita moja inatosha kupaka hiyo gari ikawa kama hizi tunazoziona barabarani.

Liquid hii nilipaka kajumba ka toy kadogo kama kiberiti lika expand kua jumba kubwa ndo naishi hapo sasa.

Ni Liquid yenye mchanganyiko wa magic na chemical ingredients, Bei ya chupa moja ni TZS 1 ,000,000/-.

-☝️Alisikika tapeli mmoja hivi anaetafuta hela ya sikukuu.
 
Okay.Hakuna punguzo?
 
ivi watu wafupi hatutoshi umo mana nimekipenda nataka ni drive mwenyew

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Dogo akiipata hii lazima ang'oe pisi kali zote za umri wake

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…