kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
ndiyo750 kwa go kart hizo nilizokuonesha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo750 kwa go kart hizo nilizokuonesha?
Hiyo bei ipo chini mkuu maana nimekuonesha na kukutajia bei straight kutoka Alibaba so hapo mimi sitohusika ni wewe uta place order na kuletewa Chuma yakondiyo
Chukua 220 jirani.Fanya 300 kamili
Haupo mbali sana,ukiongeza 80 tu hapo unakamata chuma,nakupa discount ya mwishoChukua 220 jirani.
Kwa Speed hiyo Hata Segerea itafika kweli [emoji28]Haifiki boss
Betri inakaa na charge 1hr 30mins
Kwa speed ya 6km/h
Segerea inafika ukiwa na battery mbili [emoji28]Kwa Speed hiyo Hata Segerea itafika kweli [emoji28]
MhhHaupo mbali sana,ukiongeza 80 tu hapo unakamata chuma,nakupa discount ya mwisho
Nipe 290
Changamkia fursa boss
200 chap dogo avimbe nalo uswazi mwaka mpya[emoji1545]Ndinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake
Gari ina sifa zifuatazo
Gari ni ya kuchaji(12v battery)
Inawashwa na funguo
Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe
Ina music system(Usb port,children songs)
Milango inafunguka
Inawaka taa za mbele na nyuma
Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10
Price:320,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es salaam
Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]
Call/Whatsapp:0764108259View attachment 2459585
Kuna Liquid nauza ukinunua hiyo liquid ukapaka kwenye hako kagari ka huyo jamaa gari ina expand kua kubwa. Chupa moja ya lita moja inatosha kupaka hiyo gari ikawa kama hizi tunazoziona barabarani.hivi siwezi kupata za watu wazima kuanzia miaka 27 hivi mpaka 45 ila bei icheze humo humo laki tatu na ishirini naweza mwaka mpya nikauanza kivingine
nasubiri majibu
Okay.Hakuna punguzo?Kuna Liquid nauza ukinunua hiyo liquid ukapaka kwenye hako kagari ka huyo jamaa gari ina expand kua kubwa. Chupa moja ya lita moja inatosha kupaka hiyo gari ikawa kama hizi tunazoziona barabarani.
Liquid hii nilipaka kajumba ka toy kadogo kama kiberiti lika expand kua jumba kubwa ndo naishi hapo sasa.
Ni Liquid yenye mchanganyiko wa magic na chemical ingredients, Bei ya chupa moja ni TZS 1 ,000,000/-.
-☝️Alisikika tapeli mmoja hivi anaetafuta hela ya sikukuu.
bei yake usingeiweza mkuuKangekua kakubwa kubwa ningechukua nitambe nacho mtaani
ivi watu wafupi hatutoshi umo mana nimekipenda nataka ni drive mwenyewNdinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake
Gari ina sifa zifuatazo
Gari ni ya kuchaji(12v battery)
Inawashwa na funguo
Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe
Ina music system(Usb port,children songs)
Milango inafunguka
Inawaka taa za mbele na nyuma
Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10
Price:320,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es salaam
Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]
Call/Whatsapp:0764108259View attachment 2459585
Dogo akiipata hii lazima ang'oe pisi kali zote za umri wakeNdinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake
Gari ina sifa zifuatazo
Gari ni ya kuchaji(12v battery)
Inawashwa na funguo
Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe
Ina music system(Usb port,children songs)
Milango inafunguka
Inawaka taa za mbele na nyuma
Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10
Price:320,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es salaam
Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]
Call/Whatsapp:0764108259View attachment 2459585
Mkuu malizia 90 iwe 290 dogo afurahi200 chap dogo avimbe nalo uswazi mwaka mpya[emoji1545]
Watoto wanatakiwa kuwa watundu ukiona mtoto mdogo sio mtundu basi ana matatizo mkuu [emoji28]Nilivyo na "wajukuu wa mwalimu" watundu naweza kuwakuta barabarani wanafanya yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa anasepa na mtaa mzimaDogo akiipata hii lazima ang'oe pisi kali zote za umri wake
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwa hio kilometa 9 chaji imekwishaHaifiki boss
Betri inakaa na charge 1hr 30mins
Kwa speed ya 6km/h