Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii ndiyo ultimate Machine kudadeki! Hii ngoma sio Mchezo! Wengi wetu tumezoea land cruiser 4*4 sasa hii mashine ni 6*6, yaani matairi yote sita (6) yanafanya kazi na mpaka sasa hivi tangu walipoitoa Mercedes imebidi wasimamishe Uzalishaji kwa maana zimeuzwa zote na watu wanazigombania kama mpira wa kona!












