Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

Haya mawazo ndio huwa hayatakiwi kwenye thread kama hizi.........ukiwa na hela ya kununua hiyo gari........utakosa ya spea........?........automatically kama una hela ya mawazo.........hata kuiangalia huruhusiwi.............

Sawa mkuu dunia ndivyo ilivyo
 
Kuna sehemu nlisoma wanasema jeshi la austria (sina uhakika vizuri) waliweka oda kutengenezewa gari la aina hii kwa ajili ya kulinda mipaka yao. Waarabu na Warusi walivyoliona wakataka na wao wakata watengenezewe kwa matumizi ya kawaida.

Hili dude sijui maintainance yake itakuwa inafananaje.

That's where the original idea came from. It was for Australian military only until recently.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    118.7 KB · Views: 1,378
Haya mawazo ndio huwa hayatakiwi kwenye thread kama hizi.........ukiwa na hela ya kununua hiyo gari........utakosa ya spea........?........automatically kama una hela ya mawazo.........hata kuiangalia huruhusiwi.............

Waambie eti. Hawajui kama side mirror ya amarok ni 2ml.
 
Hii ndiyo ultimate Machine kudadeki! Hii ngoma sio Mchezo! Wengi wetu tumezoea land cruiser 4*4 sasa hii mashine ni 6*6, yaani matairi yote sita (6) yanafanya kazi na mpaka sasa hivi tangu walipoitoa Mercedes imebidi wasimamishe Uzalishaji kwa maana zimeuzwa zote na watu wanazigombania kama mpira wa kona!



Hii kitu ni bei gani? Nafikiri katika maisha hakuna furaha kubwa kama kuipa roho ile kitu inapenda
Mohammed Enterprises ameamua kuwa na brand yake binafsi ya magari ya kubeba mizigo muundo wa scania lakini yanaitwa MO
 
Nililiona kupitia topgear season 21
Hiyo gari hatari hata upepo inajijaza yenyewe kwa kubonyeza tu
 
Back
Top Bottom