Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

Ha ha......asante kwa kuniita......ila sijui kwa nini shape yake haijanibariki kabisa..........napenda hizi.........

Nzuri ile G 63 AMG bhana.

Hizo G555 za kichovu
 
That's where the original idea came from. It was for Australian military only until recently.

2014-G-CLASS-SUV-CH01-T.jpg
 
mbona za kawaida sana hizi wakuu mimi nazo kama 3 hivi pale ngaramtoni zinafanya kazi ya kubeba majani ya ng'ombe
 
That's where the original idea came from. It was for Australian military only until recently.

Sahihisho kidogo SIYO Australia bali ni Austria nchi iliyopo Bara la Ulaya!
 
Dola laki saba mara kiwango cha kubadilishia shilingi cha elfu mbili kwa dola moja ya kimarekani ni sawa na shilingi bilioni moja na milioni mia nne tuu

Hapo ni bila kodi
 
Naitazama hapa kaka MANI naona ni 4 seater au macho ya uzee??!!!
Hapo mguuni naona pako sawa haswa

Naam 4 seater ni p/up double cabin lakini ya anasa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Dola laki saba mara kiwango cha kubadilishia shilingi cha elfu mbili kwa dola moja ya kimarekani ni sawa na shilingi bilioni moja na milioni mia nne tuu

Hela ndogo sana hiyo kwa J. Rugemarila.
 
Yaah G 63 AMG yamesimama lakini mimi haya magari like military car
 
Kwa kweli wakati nasoma sentensi za mwanzo za huu uzi naona mleta mada anasema kuna six wheeler nikajua lazima katumia jani. Ila nilipoona picha ikabidi nikae chini nikaingia youtube ni kweli gari inaruka kama mjusi
 
Superb interiors! Ila inabidi wakuuzie na tool box kwa ajili ya kukaza kaza
 
Back
Top Bottom