Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

😱😱 inatamkwaje kwa maneno....

Wewe hayo maneno unatamka ukiwa unataka nini.........badala ya kuwa busy kuhamisha hizo namba............kwenda kunakohusika...........
 
Hebu tuache utani, mi naweza kudunduliza wee mpaka ikatimia pesa ya kununua hiyo 'mukitu' 6*6. Sasa tatizo langu moja tuu, hawa mafundi wa huku uswazi chini ya mwembe wanaziwezaa? :tonguez:
 
nani amekwambia hiyo kitu ina haribika....
 
khaa.jpg
 
Du hiyo ni amazing wakuu sijui gharama take na spareparts
Daah mchina katuharibu sana gari jipya ushawaza vipuri hahaha.Ulizia service kit hayo mashocks,sijui spring,sijui bush hilo sio mahindra 1 week bush zote zimeisha.
 
Hebu tuache utani, mi naweza kudunduliza wee mpaka ikatimia pesa ya kununua hiyo 'mukitu' 6*6. Sasa tatizo langu moja tuu, hawa mafundi wa huku uswazi chini ya mwembe wanaziwezaa? :tonguez:

Kampuni itakayokuagizia hilo gari watakudurect sehemu ya kulifanyia service
 
Daah mchina katuharibu sana gari jipya ushawaza vipuri hahaha.Ulizia service kit hayo mashocks,sijui spring,sijui bush hilo sio mahindra 1 week bush zote zimeisha.

Hahahahaaaa theki engine ya mahindra inanguruma kama mashine ya kukoboa, kiukweli nina mzio na zile gari
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa theki engine ya mahindra inanguruma kama mashine ya kukoboa, kiukweli nina mzio na zile gari

Mahindra ndio TATA........?.........kweli hizi gari zinaleta mzio sana.........siku niliona wana VX nilipata mdondo hapo hapo........
 
Tata zile za kizamani ni nzuri kuna hizi new model ni majanga halafu hilo mahindra vx nalionaga mahali ngoja nitalifotoa lina shepu mbaya Kuku wa kideri kasingiziwa
 
Back
Top Bottom