Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
😱😱 inatamkwaje kwa maneno....
Wewe hayo maneno unatamka ukiwa unataka nini.........badala ya kuwa busy kuhamisha hizo namba............kwenda kunakohusika...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱😱 inatamkwaje kwa maneno....
.....du!!Wewe hayo maneno unatamka ukiwa unataka nini.........badala ya kuwa busy kuhamisha hizo namba............kwenda kunakohusika...........
Hebu tuache utani, mi naweza kudunduliza wee mpaka ikatimia pesa ya kununua hiyo 'mukitu' 6*6. Sasa tatizo langu moja tuu, hawa mafundi wa huku uswazi chini ya mwembe wanaziwezaa? :tonguez:
Daah mchina katuharibu sana gari jipya ushawaza vipuri hahaha.Ulizia service kit hayo mashocks,sijui spring,sijui bush hilo sio mahindra 1 week bush zote zimeisha.Du hiyo ni amazing wakuu sijui gharama take na spareparts
Hebu tuache utani, mi naweza kudunduliza wee mpaka ikatimia pesa ya kununua hiyo 'mukitu' 6*6. Sasa tatizo langu moja tuu, hawa mafundi wa huku uswazi chini ya mwembe wanaziwezaa? :tonguez:
Daah mchina katuharibu sana gari jipya ushawaza vipuri hahaha.Ulizia service kit hayo mashocks,sijui spring,sijui bush hilo sio mahindra 1 week bush zote zimeisha.
Mahindra ndio TATA........?.........kweli hizi gari zinaleta mzio sana.........siku niliona wana VX nilipata mdondo hapo hapo........
...Du inapanda hadi mlimani!!au hapa imefikaje... Preta