Kuna sehemu nlisoma wanasema jeshi la austria (sina uhakika vizuri) waliweka oda kutengenezewa gari la aina hii kwa ajili ya kulinda mipaka yao. Waarabu na Warusi walivyoliona wakataka na wao wakata watengenezewe kwa matumizi ya kawaida.
Hili dude sijui maintainance yake itakuwa inafananaje.
Ha ha......asante kwa kuniita......ila sijui kwa nini shape yake haijanibariki kabisa..........napenda hizi.........
Ha ha......asante kwa kuniita......ila sijui kwa nini shape yake haijanibariki kabisa..........napenda hizi.........
Du hiyo ni amazing wakuu sijui gharama take na spareparts
G class iko vizuri, lakini kina bulldog huwa hawaitaji kabisa wakiwa wanajadili best SUV
Kwa hiyo akiijadili bulldog ndio iko bora? G-class is the beast!
Du hiyo ni amazing wakuu sijui gharama take na spareparts