marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Pole mdau ila english zpo au umri umeenda sana?daaah asee nimevutiwa sana na huu uzi ningekuwa najua kingereza na me ningesoma vitabu ila daah! siwezi hata kusoma vitabu vya forex yan fursa zinanipita kisa kutojua lugha, inauma sana
Don't hate ;be inspired.Huyu jamaa anapenda mno kudanganya watu mara ya kwanza ulianza na uongo wa FOREX bado kidogo utaanzisha tuition zako zile za kuzunguka TZ nzima kufundisha watu Ku print nyumba na gari
Haters.Aisee sipendi matapeli!I really hate them with passion!
F**ck'em!
Ukiona mtu anaanza na mbwembwe za "nimesoma vitabu 86...."Majitu yenye grandiosity namna hii hua ni magonjwa ya schizophrenia.
Acha utapeli na ukatubu!
Matapeli ni matapeli tu. Hata yaongee buzz words namna gani!
Ontario you are a pretender.You are trying hard to sound intelligent but you have been debunked to be a fraud in and out!
Majizi bwana
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Pole Mkuu, ila ku-quote uzi mrefu ni ujinga pia.Ni bora ungeanzisha Uzi wako kuliko kuja kufanya ujinga hapa
.....Tell me haukua serious ku-quote uzi wote huu ili kuandika huu utumbo.Heko, si mchezo. Je, Mungu atasubiri wafike huko? Ujio wa kristo na mpinga kristo utakuwa haujatokea?
Kwani ontario ana broker company anayoiendesha ?Fanya zoezi dogo tu.Fungua uzi mpya andika "Nani Katapeliwa Forex Trading na Ontario",halafu uone watakaojibu.Pia wape ruksa ya kukutumia DMs kama mtu anaona noma kusemea kwenye uzi.
Au andika tu "Nani Kapata Hasara Kwenye Forex Trading Kupitia Platform Ya Bwana Ontario".You will get more DMs than Mark Zukerberg will ever dream of.
Fanya hilo zoezi halafu utanipa majibu!
Ahahahahahah duh maisha hayana formula nipo njia panda sijui niende kulia ama kushoto.watu wanatuchanganya tuHuyu jamaa anapenda mno kudanganya watu mara ya kwanza ulianza na uongo wa FOREX bado kidogo utaanzisha tuition zako zile za kuzunguka TZ nzima kufundisha watu Ku print nyumba na gari
Hii hata mimi kila nikijaribu "kulisukumizia" kwenye ubongo wangu linakataa kabisa,sasa kama nyumba inakuwa printed inamaana hilo printer lenyewe lina ukubwa kiasi gani?......lakini pia kuna lile la kumfyatua binadamu kama tofali maabara,hili nalo japo ni tecknolojia ila nahisi kama "kamba" hivi ila sijui tuendelee kusubiri lakini sidhani.
Uache lawama sasa si na wewe uwe Musk,,,Poor TZ
Wenzetu wapo high tech era si ndo tunataka kumalizia kinyerez namba 3 tupate umeme ili tuingie industrial era (hii ikikua 40s au 50s it sound like zama za mawe za kale)
VIP nawezapata 3D ya kuprint dola au bitcoin?Maana vyuma vimekaza ramani sioni.Pia vipi hio teknoloji haiwezi kutuondolea ccm maana ndo chanzo cha shida yote ya umasikini huu.Kuna hii bookshop mlimani City inautwa MAK ndio nanunua vitabu vingi kwa hapa Bongo. Lakini mara nyingi hua nanunua nikiwa nje ama kuorder moja kwa moja.
Nitengeneze kinyerez yangu eeh?Uache lawama sasa si na wewe uwe Musk,,,
Hoja hapo sio maendeo ya dunia. Hyo ni gia ya kuwavuta watu kwenye forex.Hii ndo sababu moja wapo kwanini nchi za kiafrika zinazalaurika.Watu wanashindwa kujenga hoja iliyopo mezani wanakimbia kichaka kingine.Ooh poor African.
Ontario unachosema ni kweli kabisa 20yrs nyuma hakuna aliyedhani kama dunia ingekuwa hapa ilipo starting with mawasiliano,Teknolojia,sayansi and all that staff.Tupo kwenye Information Age dunia ambayo kila kitu kinaenda Kiele ktronic,lazima sisi kama vijana from Afrika tuweze kujiandaa na mabadiliko haya la sivyo tutasombwa like mafuriko.
Ubungo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Intelligence ya Binadamu ni kiboko Hakuna kama io, Hizo tech zote zina be controlled na Ubungo wa Binadamu, Labda Zitokee race zingine out of our planet ndio tunaweza kuzidiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu dogo ni tapeli sana asipoacha utapeli watakuja mchoma moto raia.. alianzia mbali forex na baadae akapiga hela za watu akaenda kulimia... na kuwaambia wasubiri wata download hela mwisho wa siku wameambulia manyoya... sasa kaja na mbwembwe nyingiiii mwisho wa siku watu watapigwa hela na kubaki manyoya.. na safari hii ndio watamtia kiberiti