Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Haya lazima yangejitokeza tu
Kuna mambo mengine unajipima akili yako ukiona haufiti unakaa pembeni nakuwa mtazamaji tu, nikupongeze kwa kujitathimi na kugundua upo kundi gani we pita humu na jichekeshe jichekeshe tu forever living unafananisha na forex tobaaa!
 
Hapana nilikuwa na mtazamo chanya ..... ila hii thread kaniangusha saana!!
Lakini haya mambo yanaweza kutokea Japo si kwa jinsi anavyoeleza. Labda kwa sisi ulimwengu wa 3 ndo haya mambo sahau kabisa. Ila mambo kama ya magari kujiendesha, drones, ndrge za kujiendesha, na mengine mengi yapo
 
Poor TZ
Wenzetu wapo high tech era si ndo tunataka kumalizia kinyerez namba 3 tupate umeme ili tuingie industrial era (hii ikikua 40s au 50s it sound like zama za mawe za kale)
Watu wanawaza mambo makubwa,ila huku kwetu bado kuna wanaoficha sukari.
 
Ulishawahi kusikia wapi,sehemu yenye pesa watu wakiitana waziwazi??..mambo huwa ni kimyakimya..
 

ONGELEA PIA NA WANAFUNZI WAKO ULIOWAUNGUZIA ACCOUNT ZAO KUTOKANA NA FAKE SIGNALS BOSS WAKO ANAZOWAPA , PIA ONGELEA KWANINI MWAMKO WA WATZ UMEPUNGUA SANA SASA HIVI? KWANINI HAWATUMII TENA BROKER WENU...?

PUNGUZA MBWEMBWE TUNA TAARIFA ZOTE ZA YANAYOENDELEA KWENYE TAASISI YAKO MWEZI NOV - DEC 17 HASARA MLIZOPATA KUANZIA WALIMU MPAKA WANAFUNZI NAZIJUA....MMEWAINGIZA UMASKINI SANA VIJANA....WATUMIE PIA HIZO SCREENSHOTS SIO FAIDA TU WAKATI HATA WEWE UNAJUA NI URONGO KABISA.
 
Kuna watu ni vilaza dah
Hii ndo jf sijamtaja mtu ila mwenywe tu atajihisi kuwa ni kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
hapo watu wajiandae na ada za Bitcoin seminar kama ilovyokuwa kwenye forex. Unaweza ukashangilia kuletewa fursa na mtu kumbe ujinga wako ndio fursa yake. Mlianza kwa Ku download money sasa inakuja seminar itakayowawezesha mziprint wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Nasubiri ile fake ID "upepo wa pesa" inayotumika kuwajibu watu Badala ya ile inayokwenda kwa Jina la Ontario[emoji23][emoji23]
 
Katika Biblia kuna mahala Bwana Yesu anawaambia wanafunzi wake, "...usiwatupie LULU nguruwe maana wataikanyaga na kisha kugeuka kukurarua.!"

Aliwapa mfano huu kuwaasa kwamba kuna baadhi ya watu kutokana na kiwango chao cha akili na uelewa wao hawastahili kuelezwa mambo mazito na adhimu kwa sababu hawawezi kuyaelewa wala kujua thamani yake na badala yake watakugeukia kukucheka au kukuona wewe unayewaeleza ni adui yao.

Hiki ndicho ambacho nakiona kwenye baadhi ya comments za watu wachache kwenye huu uzi.
Kwa kuwa mwaka huu nimeweka nadhiri kuufanya mwaka wangu wa mawazo chanya, 'vibe' chanya, maneno chanya, mikakati chanya na # BoldMoves sitaki kupoteza nishati yangu kwenye mjadala hasi ambao baadhi ya watu kwenye huu uzi wameanzisha....


Tujadili content ya uzi,

Chief, kwanza asante sana kwa uzi maridhawa wa kiwango hiki... nahisi inawezekana ulikesha usiku mzima (au siku kadhaa) mpaka kutoka na kitu kama hiki. Japo ndio kwanza ni January nadhani huu uzi utakuwa moja ya nyuzi bora zaidi kwa mwaka huu 2018.

Umenihamasisha pia kusoma zaidi vitabu, mwaka 2017 nimesoma vitabu 33 pekee... nimeona idadi ambayo umesoma mpaka nimesikia aibu. Damn

Nimefurahi sana kumsoma Ellon Musk mara kadhaa kwenye uzi wako. Binafsi naamini historia itakuja kumkumbuka huyu jamaa kuwa moja ya binadamu muhumu zaidi kuwahi kuishi chini ya jua. Huyu jamaa anapush bounderies kufanya yale ambayo tulikuwa tunahisi hayawezekani.

Wacha nifike nyumbani nioge na kutulia na mimi niungane kuchangia maoni hapa.!


Salute chief


The Bold
To Infinity and Beyond
 

Sasa hivi saa 17.05 nimeichukua hiyo screenshot saa 17.03 ili nikuoneshe kua nimewaambia wanafunzi wangu wanyamaze wakiwa nje ya TMT, hata hawa JF wanaonitetea wanafanya makosa... Kwanini tutumie nguvu kuprove kuwa tunaingiza pesa au tunapoteza pesa, kwanini watu waliopo nje ya TMT wanaumia kuliko watu waliopo ndani ya TMT. TMT kuna whatsapp groups 8 ambapo kila group lina at least wanafunzi 200 that means si less than 1500 members, hawa hawaumii pesa zao kutapeliwa na Ontario, lkn watu wengine waliopo nje ya TMT wanaumia.

Ukitaka screenshots zaidi za wanafunzi niambie, niende kwenye magroup yangu niwaamshe watu waje kuwanyoosha kwa screenshots wapayukaji kama wewe.
 
Aisee we jamaa kama ungekua mwanamke basi mm ndio ningekutoa bikra.
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…