Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nani kakuangusha?Hapana nilikuwa na mtazamo chanya ..... ila hii thread kaniangusha saana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuangusha?Hapana nilikuwa na mtazamo chanya ..... ila hii thread kaniangusha saana!!
Kuna mambo mengine unajipima akili yako ukiona haufiti unakaa pembeni nakuwa mtazamaji tu, nikupongeze kwa kujitathimi na kugundua upo kundi gani we pita humu na jichekeshe jichekeshe tu forever living unafananisha na forex tobaaa!Haya lazima yangejitokeza tu
Lakini haya mambo yanaweza kutokea Japo si kwa jinsi anavyoeleza. Labda kwa sisi ulimwengu wa 3 ndo haya mambo sahau kabisa. Ila mambo kama ya magari kujiendesha, drones, ndrge za kujiendesha, na mengine mengi yapoHapana nilikuwa na mtazamo chanya ..... ila hii thread kaniangusha saana!!
Watu wanawaza mambo makubwa,ila huku kwetu bado kuna wanaoficha sukari.Poor TZ
Wenzetu wapo high tech era si ndo tunataka kumalizia kinyerez namba 3 tupate umeme ili tuingie industrial era (hii ikikua 40s au 50s it sound like zama za mawe za kale)
![]()
Kinachoumiza watu ni vitu kama hivi, mtu ana miaka 40 anajiuliza inawezekanaje kijana wa miaka 24 aingize mil 6.7 ndani ya masaa kadhaa. Pia kijana huyo huyo wa miaka 24 anaweza kupoteza hata mil 20 na wala hana stress, wakati yy akipoteza tu vimilioni vitatu anaumwa homa wiki nzima.
Inakuhusu nini?Tumia id yako ya kwanza.. Achana na multiple id's...
Yeye mwenyewe mbona ni Ontario ila anajibu kwa kutumia iyo ID ya upepo wa pesa kujibia hoja. Anazani wote mandezi hatufahamu kama ana ID nyingi humu.Kama sio multiple ID ya Ontario basi upepo wa pesa lazima atakua shoga.Inakuhusu nini?
ONGELEA PIA NA WANAFUNZI WAKO ULIOWAUNGUZIA ACCOUNT ZAO KUTOKANA NA FAKE SIGNALS BOSS WAKO ANAZOWAPA , PIA ONGELEA KWANINI MWAMKO WA WATZ UMEPUNGUA SANA SASA HIVI? KWANINI HAWATUMII TENA BROKER WENU...?
PUNGUZA MBWEMBWE TUNA TAARIFA ZOTE ZA YANAYOENDELEA KWENYE TAASISI YAKO MWEZI NOV - DEC 17 HASARA MLIZOPATA KUANZIA WALIMU MPAKA WANAFUNZI NAZIJUA....MMEWAINGIZA UMASKINI SANA VIJANA....WATUMIE PIA HIZO SCREENSHOTS SIO FAIDA TU WAKATI HATA WEWE UNAJUA NI URONGO KABISA.
Hao wadada sasa wanavyojua kupigili hizo pamba..daahNiliwahi kuhudhuria semina za forever living product,,wee wana maneno ya kufanikiwa wale watu,acha kabisa
Aisee we jamaa kama ungekua mwanamke basi mm ndio ningekutoa bikra.Katika Biblia kuna mahala Bwana Yesu anawaambia wanafunzi wake, "...usiwatupie LULU nguruwe maana wataikanyaga na kisha kugeuka kukurarua.!"
Aliwapa mfano huu kuwaasa kwamba kuna baadhi ya watu kutokana na kiwango chao cha akili na uelewa wao hawastahili kuelezwa mambo mazito na adhimu kwa sababu hawawezi kuyaelewa wala kujua thamani yake na badala yake watakugeukia kukucheka au kukuona wewe unayewaeleza ni adui yao.
Hiki ndicho ambacho nakiona kwenye baadhi ya comments za watu wachache kwenye huu uzi.
Kwa kuwa mwaka huu nimeweka nadhiri kuufanya mwaka wangu wa mawazo chanya, 'vibe' chanya, maneno chanya, mikakati chanya na # BoldMoves sitaki kupoteza nishati yangu kwenye mjadala hasi ambao baadhi ya watu kwenye huu uzi wameanzisha....
Tujadili content ya uzi,
Chief, kwanza asante sana kwa uzi maridhawa wa kiwango hiki... nahisi inawezekana ulikesha usiku mzima (au siku kadhaa) mpaka kutoka na kitu kama hiki. Japo ndio kwanza ni January nadhani huu uzi utakuwa moja ya nyuzi bora zaidi kwa mwaka huu 2018.
Umenihamasisha pia kusoma zaidi vitabu, mwaka 2017 nimesoma vitabu 33 pekee... nimeona idadi ambayo umesoma mpaka nimesikia aibu. Damn
Nimefurahi sana kumsoma Ellon Musk mara kadhaa kwenye uzi wako. Binafsi naamini historia itakuja kumkumbuka huyu jamaa kuwa moja ya binadamu muhumu zaidi kuwahi kuishi chini ya jua. Huyu jamaa anapush bounderies kufanya yale ambayo tulikuwa tunahisi hayawezekani.
Wacha nifike nyumbani nioge na kutulia na mimi niungane kuchangia maoni hapa.!
Salute chief
The Bold
To Infinity and Beyond
Mkuu ONTARIO kwanza nikupe pongezi kwa kuandika huu uzi, pia kwa challenges za kijinga unazopata kwa watu wasiotumia akili zao kwa ufasaa!!
Sasa mkuu...
1. Kwa unavyoiona Tz je unahisi tutakaa tufike huko? Tufanye nini na sisi maana ndio kwanza maji tu vijiji shida!
2. Nilisoma kitabu cha Elion Musk kinaitwa "the engineer"...historia yake ni kwamba yeye sio injinia by proffession ila ni mwana fizikia, je unaonaje mfumo wa elimu zetu? Je ndio chanzo cha haya yote?
3. Je kwa mchakato huu wa Tanzania ya viwanda unaweza kutufikisha huko?
Kama elimu hii hii ilikopiwa ya wazungu mbona wazungu wananufaika kuliko sisi, what is wrong with us?
(Kwa kweli imeniuma sana hasa ukizingatia wenzetu walipo na sisi tulipo!)
Mkuu jambazi post nzuri sana hii... Ila naomba nikirekebishe, elion musk alizaliwa canada na akiwa mdogo waliamia south africa baada ya matatizo ambayo baba yake aliyapata wakiwa canada, then later elion mwenyewe alirudi canada kwa masomo ya chuo kikuu na baadae akaamia marekan kwa ajili ya kuendelea na chuo!!
Lakini pia naomba niwatetee wana dsm kuhusu maji na kuzungukwa na bahari... Maji ya bahari yana chumvi na hayafai kwa matumizi unless uya treat which is costful... Lakin bado sio excuss maana nchi ina miaka zaidi ya hamsini na huu haukua muda wa kuanza kuhangaika na maji!!
All in all tuna safari ndefu sana... Angalia tu comments za watu kwenye huu uzi ndio utaelewa kwann wa tz bado sana...
Mkuu jambazi post nzuri sana hii... Ila naomba nikirekebishe, elion musk alizaliwa canada na akiwa mdogo waliamia south africa baada ya matatizo ambayo baba yake aliyapata wakiwa canada, then later elion mwenyewe alirudi canada kwa masomo ya chuo kikuu na baadae akaamia marekan kwa ajili ya kuendelea na chuo!!
Lakini pia naomba niwatetee wana dsm kuhusu maji na kuzungukwa na bahari... Maji ya bahari yana chumvi na hayafai kwa matumizi unless uya treat which is costful... Lakin bado sio excuss maana nchi ina miaka zaidi ya hamsini na huu haukua muda wa kuanza kuhangaika na maji!!
All in all tuna safari ndefu sana... Angalia tu comments za watu kwenye huu uzi ndio utaelewa kwann wa tz bado sana...
Hizi chuki,ubinafsi,wivu ndio zinatutofautisha sisi na wenzetu, huu uzi ungeanzishwa kwa wenzetu usingekuta comments za kijinga!!
Ila ndio hivyo tulivyo... Tatafanyaje sasa!!