Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mkuu unajidanganya sana.
kama mambo yangekuwa hivyo hadi leo tungekuwa tunatumia Printer za Dot matrix badala ya Laser Jet Printers, au tungekuwa tunakomaa na barua au fax.

Mkuu nani alijua miaka 15 iliyopita hapa bongo matumizi ya smart card kama ya mwendokosi itatumika kwenye usafiri wa umma?

Nani alijua BVR kwenye upigaji kura itakuja haraka hivyo? Na karibuni tu itakuwa rahisi kumtambua mhalifu kwa kutumia fingerprints maana database ndio hiyo tayari tulitoa alama zetu kwenye zoezi la vitambulisho vya Taifa na uchaguzi mkuu.

Kwa taarifa yako matumizi ya digital currency(Hiyo Block chain) nchi masikini ambazo watu hawana vitambulisho vizuri, mabenki kam westunion hakuna huko vijijini watafaidika sana na hizi Bitcoin pale watakapotumiwa pesa na ndugu zao akina Drogba toka Ulaya au Mbwana Samatta toka huko Ulaya wanakotafuta riziki. wanachohitaji ni Smartphone tu ambazo sasa ni gharama nafuu zimeenea hadi vijijini.

Unafikiri yule aliekamatwa Julius Nyerere international Airport (JNIA) na dola kadhaa cash angetumia Bitcoin au digital currency yeyote angekamatwa?
Kwa kutumia banking system iwe swift, Visa, n.k. hizo lazima utakuwa controlled tu lakini sio hizo digital currency(Block chain kama Bitcoin).

NB: Hapa sifundishi watu kukwepa mkono wa sheria au cybercrime au ukwepaji kodi au utakatishaji fedha. Natoa mifano hii kwa lengo la kuelimisha tu(For Educational Purposes).

Tafuta hii documentary mpya kabisa.

Magic Money: The Bitcoin Revolution (2017)
 
nimekuheshimu ghafla....heshima kwako hii comment ni ya tarmac og .kabisa siyo kiwango chake congrat GT!!!
 
Nzuli Sana mkuu, ila ujue tu Binadamu hatuwezi kushindana na wala hatutaweza kushindana na MUNGGU milele daima, maana mawazo yake hayachunguziki.
 
Ahsante Mkuu
 
Ukomo wa fikra zako ndipo wenzio wanapoendelea kufikiria na kutenda zaidi ya yale uyafikiriayo, uyaonayo na yale uliyo na uwezo nayo. Sky is the limit. If we could live long enough, most of these experiments might be fulfilled.
 
Vipi hii teknolojia imeshindwa kutibu HIV na Kansa hadi hii leo ?
Hao wataalamu wa Bioengineering wanasemaje ?
 
ELON MASK..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii mnayoita AI inatengenezwa na nani kama si binaadamu? How come robort awe na superintelligent kuliko binaadamu wakati huo hiyo superintelligent inatengenezwa na binaadamu halafu inapandikizwa ndani ya huyo robort na kuanza kufanya kazi?
Hakuna futuristic yoyote binaadamu anaweza kucreate akashindwa kuidestroy kwa maana kwamba imzidi uwezo.
 
bro utakua unakosea sanaa kusema hvyo.....ukumbuke technology ndio inatulazimisha kuishi maisha ya miguu mezan na bandle kwnye simu

mfn 1.ww mwenywe sahivi umekaa mahali umetulia umesoma huu uzi na ukatoa maoni yako,isingekua tecnlogy huo muda ungeutumia kwenda shamba au kufanya shughuli zako muhimu

2.sahvivi kuna kiyu kinatumika majumbani kinaitwa kingamuzi kumbuka madishi yetu ya analogy tulikua hatuyalipii na ukishayafunga unaenjy tuu lakini leo technology imetulazimisha kwenda digtal sio hivy tuu bali kuumia kila mwezi kwa kulipia hivyo vingamuzi na bado technology hiyo hiyo itakuja kuua uwepo wa vingamuzi kwa ujio wa SMART TV ambazo nyingi zitatumia ANDROID na IOS

3.Mifano ni mingi lakini nimetoa michache na yakawaida ili nikucritisize kwa unachokisema kwamba Bro Ontario anawapotosha vijana,UKWELI NI KWAMBA ONTARIO HAPOTOSHI VIJANA ILA VIJANA TUNAPOTOKA KWA KUTOKUFATILIA TECHNOLOGY
 
Kama hiyo teknolojia ita izidi akili ya binadamu basi, itatutawala na kutuamrisha cha kufanya.
Teknolojia ikimzidi binadamu basi itatulazimisha tuiabudu na kuitumikia.
Sisi binadamu tutakuwa watumwa wa hiyo tec.
 
Ndo watanzania tulivo ata sikushangai kwakweli....your too shallow to think deeper[emoji41]
 
Ni very intresting hasa kwa electeonics na macanics ila kwenye swala la Computer kizidi akiri ya binadamu hizo ni chai mkuu. Kuna kitu kinaitwa Gabage in Gabage out, computer haitaweza kifanya kaz ambayo haijaelekezwa na mwanadamu, hata maana y neno machine itakua haina maana. Huyo jamaa alilose ile game kwakuwa vilikaa vichwa vingi tuibrogram computer kuhakikisha inashinda, so yule mwanamichezo alikua anaahindana na akiri nyingi za programers lkn co kweli km computer kuzid mwanadamu. Kwa uwelewa wako mdogo kwenye technology kunakufanya uone mambo hayo ni ya ajabu sana lkn maprograma km akina Mark au Gates hata yachukulia km tunavyoyachukulia sisi. 3rd world countries tuna akiri ndogo huwez linganisha na wenzetu, ss ukisema computer imzidi mtu akiri ni mtu yupi unaemsema? Mzungu? Vyote tutumiavyo ni machinery ambazo mwanadam anatengeneza kwa akiri yake ili kumsaidia kufanya kaz
 
nimesoma yooote nimegundua hii tutawafikia cku c nyingi ngoja tumalize kwanza kuwanunua wabunge na madiwani wa ukawa. shubamiiit.
 
Tena wasithubutu kutuletea upuuzi huo,wabaki huko huko na ushenzi wao
Dunia ikikaribia ukingoni teknologia itakuwa kubwa kubwa kupindukia ndipo dhiki kuu itakapokuja,,hatari sana tena sana
 
Ndo kitu kimesalia,yaani nyumba inakuwa printed,Mara ehighway hapa zama za kukariri upuuz wa zamani zmekoma,,computer na sekta ya madini,michezo na burudani ndo watapeta
Eti viwanda vitaleta ajira huo upuuzi hakuna maana tena,nimejifunza kitu hapa
 
Inshort wanaprint parts za kutengeneza nyumba sio nyumba yote kwa pamoja.alafu wana assemble manually
Inawezekana bwana,ukishaset ramani,unaload materials za ujenzi unawasha kitu inasimama maisha yanaendelea,very very possible,kama tunachora mixhora kwa kufeed tools ambazo zipo then unaiprint kwenye 3D paper inatoka nini kitazuia kila tool kufeed material husika?
 

Sio kweli. Angalia smartphones leo hii tunazitumia. Teknolojia haina mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…