Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Watakuja na multiple ID kukutukana kwasababu tu umepinga kwamba mtabiri wao hapo hajatabiri.
Much respect Gudume.
 
haha ha... nawasubiri waje mimi hawawezi nipa shida hata kidogo. nilizoea kubishana na watu wenye akili wengine huwa nawa ignore tu.
Watakuja na multiple ID kukutukana kwasababu tu umepinga kwamba mtabiri wao hapo hajatabiri.
Much respect Gudume.
 
first i should put this clear. i dont need multiple IDs coz i can be anyone anywhere. it is just a matter of decision. ila nina MULTIPLE PERSONALITIES. These are two different things. na pia siku zote huwa nasema akili yangu sifanani na mtu mwingine yeyote. wengine wana akili nyiiiingi sana. mimi sina akili hata kidogo so ni makosa kunifananisha mimi na mtu mwingine coz akili yangu naijua mwenyewe tu.
Mkuu naona kuna mtu alikutag pamoja na watu wengine ambao nimetumia ID zao kama mfano katika comment yangu hii ktk screenshot, ila hakuelewa kama mimi nilikua natoa mfano tu na si kwamba niliowataja ni kweli wana multiple ID. Nimetumia ID hizo maana zinafahamika ivyo ni rahisi kuZitumia kama mfano na si vinginevyo.
dfd350de16ead157882b0d77ee65d70a.jpg
 
Yajayo yanatisha Sir. Alphaking Mahena nipo njiani kuja na technology itayowashangaza wengi sana ya kufanya anga kuwa barabara,najua wachache tu ndio watakaokuwa wamenielewa
 
Teknolojia inapomfanya binadamu akose kazi ya kufanya(mass unemployment), tegemeo kubwa ni UASI MKUBWA WA BINADAMU DHIDI YA TEKNOLOJIA HIYO. Kwa asili mwanadamu anapenda teknolojia inayomrahisishia kufanya kazi sio kukosa kazi. So nadhani yatakua mapambano kati ya humananity dhidi ya teknolojia.
Hapa ndipo itakuwa vita ya fimbo na mawe?
Inaonekana hivyo
 
Mkuu naona kuna mtu alikutag pamoja na watu wengine ambao nimetumia ID zao kama mfano katika comment yangu hii ktk screenshot, ila hakuelewa kama mimi nilikua natoa mfano tu na si kwamba niliowataja ni kweli wana multiple ID. Nimetumia ID hizo maana zinafahamika ivyo ni rahisi kuZitumia kama mfano na si vinginevyo.
dfd350de16ead157882b0d77ee65d70a.jpg
Multiple ID kama smart 911 na mahondaw [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mtu mmoja anayejitekenya na kujichekesha mwenyewe
 
Aisee yaan nlikua natembea imebid nisimame na kusoma uzi huu na nimeusoma wote nikiwa nimesimama

Btw Ontaria much thanks,,huu uzi una vtu ving sana muhimu kwa waliyo tayari na future

Af huyo Elon Musk nlishasoma project zake asee unaeza dhani kweli jamaa ni allien.
 
Nimecheka sana kwamba huu mwaka ukiisha founder wa crypocurrency atamtuma bill ugoro
 
Yalioongelewa sio ndoto, ni sahihi japo watu tnaupinga ukweli, ukijarib kuchimbua kiundan, ubishi mbona ubishi apa haungekuwepo.
dfa4ba3b2a6b0b6d55768edd6e2d6518.jpg
 
Eeh Mkuu Mi ntakua na stationary ya kuprint sehem pendwa !!! " papuchi "
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] halafu unazifanyaje???!!
Kwa kweli technology imerahisisha na kuboresha ila tunapoelekea itatukera.
Nawaza tukianza kuprint nyumba ndani ya masaa 17 wale mafundi na saidia fundi wataenda wapi
 
Ntakuwa nawauzia wakina lemutuz na wasiojua kutongoza
 
ROBERT KOUBA........the father of singularity......noma snaaaa huyu mtu kaweka wazi physcs of the future kwenye hiyo movie ya singularity....ukipata muda tazama movie ya THE HOLLY KANE EXPERIMENT ,utaona ni jinsi gani cybertechnology na life of the future vinavyoelezewa kwa undani..huwez amini hata chakula kitakuwa kinafanyiwa copying,hakuna ya haja ya kupika mara mbili.kuna kitabu kimoja kinaitwa PHYSICS OF THE FUTURE written by MICHIO KUKU,utaelewa yote aliyozungumza bwana ONTARIO yameelezwa kinaga ubaga
 
Back
Top Bottom