Uelewa wake ndio umekomea hapo.
Yy anadhani wanavyo sema copy ni kama photocopy za kwenye makaratasi ;haimuingii akilini kabisa.
Angeweza kujishugulisha ata kwa dk 5 tu kutafuta ukweli angeona nyumba hiyo wameishatengeneza.
Zamani Galileo mwana sayansi wa kwanza aliyesema kitu tifauti na mapokeo ya kanisa la Romani kuwa dunia inazunguka jua.
Jamaa alipata adhabu ya kuuwawa.
Bt baada ya miaka mingi ikaja kugundulika ni kweli dunia yetu inazunguka jua.
So wasiotaka kujishughulisha na akili zao lazima watabaki nyuma.
Mfano miaka 20 nyuma angetokea mtu akasema itafikia kipindi ukitaka kumuandikia barua bibi au babu au jamaa yupo bara lingine atapata ujumbe ndani ya 2second nadhani watu wangetoka povu sana.
But leo barua pepe unawasiliana na mtu within second.
Sent from my SM-G610F using
JamiiForums mobile app