Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Thread inaitwa "Ontario's mere prediction about the future".But ukitafakari vizuri humo ndani hakuna ulichopredict zaidi ya kucheza na akili za watu.
Ulichoandika sio utabiri bali umeanza kwa kutuelezea ulivyosoma kuhusu ukuwaji wa technology na athari zake (-v) Katika upande wa ajira kabla haujaingia katika Aya ya mwisho ambayo ndio lengo kuu la hii thread.

Ninani aliyefika hadi kidato cha nne ambaye hajui kwamba moja kati ya athari za ukuaji wa technology ni Pamoja na kupungua kwa ajira?kama hakuna na hayo uliyoyasema hayatoki kichwani kwako bali kwenye vitabu ulivyosoma kama ambavyo umeeleza Sasa hapo utasema umetabiri nini?.

Kila ukuwaji wa tecnolojia uliyoizungumzia umeuzungumzia katika Hali ya hasara tu hasa katika upande wa ajira yaani hakuna hata sehemu moja uliyoonesha kwamba kuna faida fulani itakayopatikana Lakini ulipofika kwenye Bitcoin umeiongelea kwenye upande positive tu tofauti na technology nyingine.Umeielezea faida tu ikiwemo kupanda kwa thamani na wewe mwenyewe ukaanza kwa kutoa ushuhuda kwamba Bitcoin ipo vizuri sana.

Hapo ndio nagundua zile za juu zote zilikua ni bla bla tu lakini target yako kuu ilikua kuintroduce issue ya BITCOIN kama ilivyokuwa kwenye FOREX.Umeieweka Bitcoin mwishoni ili muendelezo Uwe thread ya Bitcoin.

"Mwakajana tuliwafundiaha jinsi ya Ku download money kupitia FOREX na hatimaye mwaka huu kutokana na ukuaji wa technology tunategemea kuwafundisha kuprint wenyewe majumbani kupitia BITCOIN .Jiandaeni na pesa za Seminar, Undeni ma group ya watsap Mikoani kwenu mkitimia watu 100 wenye Ada mkononi mtuite tutakuja".

Jamaa mmoja kanifurahisha Sana kasema eti " Unaweza ukafurahia kuletewa fursa kumbe wewe ndio fursa ya aliyekuletea".
Mr Mangi anaitwa....yule jamaa yuko vizuri upstairs, nimemuelewa kupita Maelezo!
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/e3f33d3bd0c17ebf14573e13682014b9.jpg

A man who buy his luxury car through forex
 
Uongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"

-Tera La Vista

Kila siku hua nawaambia watu Lack of exposure na kua mvivu wa kusoma vitabu madhara yale ndio haya kutwa unasoma Umbea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
I cant wait to see Tesla cars yani niliangalia makala moja nikawa excited juu ya zile gari tutaringa haswa enz hizo unaji self drive na Tesla car mwingine ana mgari wake wa petrol mafuta ya vidumu yaaani patakua padogo kwakweli [emoji3][emoji23]
 
TWENDE JUKWAAA LA KULE CHINI MWISHO UKANIPE UTAMU
Kila siku hua nawaambia watu Lack of exposure na kua mvivu wa kusoma vitabu madhara yale ndio haya kutwa unasoma Umbea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hamna jipya chini ya jua.
hayo ni binadamu tu anazidi kugundua nature yake na mazingira yake.
Kuna siku hiki tunachoita uchawi leo kitaitwa sayansi kesho.
Moving from physical realm to spiritual realm.
Ila tu tujiandae na consequences zake,matumizi mabaya ya nature.
 
Ontario Mimi nakubari Sana maandiko yako lakini pale Uliposema kuwa nyumba nayo ina pritiwa akanibidi nitoke Jamiiforum nikimbilie YouTube Kwa kasi ya umeme kuhakikisha hili.. its true even house can be printed nimetazama videos nyingi na ku google hapa na pale.. Thank you for this information.
 
Kiukweli Dunia ya 2018 itakua tofauti sana na ya 2025 mambo yanabadilika na huku Africa vijana wengi sana watabakia mtaani tech ita take over lakin naona kabisa n wasaa wa Vijana wa sasa kusomea sana mambo ya Programming na masuala ya computer maana kwa badae kuna ajira zitabakia ni historia watakao survive n watu wa IT madaktari mainjinia wa umeme,majengo kiasi lakin hawa sijui nimesomea akaunti sijui Finance watakaa nyumbani ila La mwisho kabisa watz huu ndio wakat wa kufikirisha kuwaza kua na ajira ya kujiajiri ambayo unaona haitakua affected na haya masuala kwa Mfano kuna kitu unaweza fanya ni kama online jobs, lakini vinginevyo tutaendelea kusubiri Ela za makinikia.

ONTARIO Umeandika kitu kizuri sana lakini ni wachache sana ambao wataelewa sababu wengi wao upeo mdogo sana wamekosa Exposure kwa sabab ambazo hazizuiliki bongo zao zimebakia static hazijui kitu na kingine ni Kutopenda kusoma Vitabu kuna mtu kule twitter anaitwa Togolani mavura aliandika kuhusu hili suala lakini wengi hawakuelewa kaandika nini ni kama hapa hawawezi kukuelewa sababu ya kuzoea kusoma vitu vyepesi vyepesi na wanaobisha sio wanabisha as wanajua kitu ni kwamba wengi wao ni zero brain wabongo unawajua vizuri, na sio kwamba wamependa kua zero brain ila mazingira ya kizero brain ndio yamewafanya wakawa hiv😵ntario,The bold Salute u guys.
 
Ontario Mimi nakubari Sana maandiko yako lakini pale Uliposema kuwa nyumba nayo ina pritiwa akanibidi nitoke Jamiiforum nikimbilie YouTube Kwa kasi ya umeme kuhakikisha hili.. its true even house can be printed nimetazama videos nyingi na ku google hapa na pale.. Thank you for this information.

Haya maandiko ulidhan ontario anaandika toka kichwani kwake na akudanganye ili iweje apate nin ushamba mzigo.
 
Biashara imekuwa ngumu..naona wateja wamekuwa wakali kama mbogo kwa mentor wao..uzi graph yake inashuka tu taratibu..
hahaaa ukiona hvyo tambua kuwa watu wameshanza kutambua aina hii ya upigaji .nahawana imani na MUONGO ..MTU MUONGO HAPASWI KUAMINIWA HATA KAMA ATASEMA KWELI
 
We ndo yule kijana unaye wa himiza vijana kufanya Biashara ya ForeX. Basi kama ni wewe basi hamna shida, leta uzi mwingine. Na nyie wa mliojiunga Forex mtaendelea kufurahia siku hadi siku.
 
Thread inaitwa "Ontario's mere prediction about the future".But ukitafakari vizuri humo ndani hakuna ulichopredict zaidi ya kucheza na akili za watu.
Ulichoandika sio utabiri bali umeanza kwa kutuelezea ulivyosoma kuhusu ukuwaji wa technology na athari zake (-v) Katika upande wa ajira kabla haujaingia katika Aya ya mwisho ambayo ndio lengo kuu la hii thread.

Ninani aliyefika hadi kidato cha nne ambaye hajui kwamba moja kati ya athari za ukuaji wa technology ni Pamoja na kupungua kwa ajira?kama hakuna na hayo uliyoyasema hayatoki kichwani kwako bali kwenye vitabu ulivyosoma kama ambavyo umeeleza Sasa hapo utasema umetabiri nini?.

Kila ukuwaji wa tecnolojia uliyoizungumzia umeuzungumzia katika Hali ya hasara tu hasa katika upande wa ajira yaani hakuna hata sehemu moja uliyoonesha kwamba kuna faida fulani itakayopatikana Lakini ulipofika kwenye Bitcoin umeiongelea kwenye upande positive tu tofauti na technology nyingine.Umeielezea faida tu ikiwemo kupanda kwa thamani na wewe mwenyewe ukaanza kwa kutoa ushuhuda kwamba Bitcoin ipo vizuri sana.

Hapo ndio nagundua zile za juu zote zilikua ni bla bla tu lakini target yako kuu ilikua kuintroduce issue ya BITCOIN kama ilivyokuwa kwenye FOREX.Umeieweka Bitcoin mwishoni ili muendelezo Uwe thread ya Bitcoin.

"Mwakajana tuliwafundiaha jinsi ya Ku download money kupitia FOREX na hatimaye mwaka huu kutokana na ukuaji wa technology tunategemea kuwafundisha kuprint wenyewe majumbani kupitia BITCOIN .Jiandaeni na pesa za Seminar, Undeni ma group ya watsap Mikoani kwenu mkitimia watu 100 wenye Ada mkononi mtuite tutakuja".

Jamaa mmoja kanifurahisha Sana kasema eti " Unaweza ukafurahia kuletewa fursa kumbe wewe ndio fursa ya aliyekuletea".
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom