Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Marvelous! Tunahitaji vichwa hata kumi tu kama vyako kuibadilisha Tanzania kuwa technology hub, trust me kuna vijana wana uelewa mkubwa sana wa haya mambo, hasa waliosoma IT, hongera kwa somo zuri
 
Multiple ID kama smart 911 na mahondaw [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mtu mmoja anayejitekenya na kujichekesha mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila inaweza ikawa kweli
 
ungetaja na thamani ya hayo yajayo....maana utaambiwa 3D printed house bil1 ya Tz.... niache kumwita fundi kisa
 
mkuu ONTARIO ubarikiwe sana kwa uzi huu, umenifumbua macho kwa kiasi kikubwa sana. wapuuzeni misukule wote wanaoandika negative comments. katika jamii yoyote ile hawakosekani majitu wa namna hiyo. hata Nuhu alipokuwa akiunda safina kuna misukule walimpinga na kumdhihaki lakini mvua ilipoanza kunyesha hao misukule wakawa wa kwanza kuangamia. so take it easy comrade and continue giving us hot and current news of the like. salute!

Ilinibidi nije kwenye uzi huu baada ya kusoma uzi uliofungua kuhusu wachangaiaji waliotoa negative comments kwenye uzi huu. Hupaswi kuumizwa kichwa sana na hawa wapuuzi kwa kuwa humu JF kuna watu wa kila aina na wenye uelewa tofautitofauti. Just ignore them and carry on as if nothing has happened.
 
Asee this is so thrilling. Watu watabisha tu but kwa wale tulioelewa, tushajua ni uwanja upi tunatakiwa kuchezea. Yaan mpaka kuna watu wanaamini Elan Musk ni Allien haki ya mama. Kwa wanaohitaji soft copy ya kitabu cha The Industries of the future nimekinunua tayari. Kama hamtojali tuchangiane kidogo kurudisha gharama kama 5000 tu mi ntakiupload hapa.
 
Yani na wewe unataka kutugeuza sisi fursa?

Jukwaa hili linaitwa intelligence na bado unaamini kuna mjinga humu? Jaribu mmu.
 
Yani na wewe unataka kutugeuza sisi fursa?

Jukwaa hili linaitwa intelligence na bado unaamini kuna mjinga humu? Jaribu mmu.

Sijakuelewa mkuu. Una maana gani kusema ninaamini kuna mjinga humu?
 
Jamii forum kuna watu washamba na wenye upeo mdogo sana siku hizi. Pole sana Ontario Jf is not the same
 
Namuona mwizi wa TMT anajikong'oja,any way ajibu tuhuma za watu kulazimishwa kutumia JP markets brokers
 
Mkuu nashindwa hata nisemaje yaani.
Umebarikiwa natamani nipate hata nusu saa ya kuchat kwa simu au kuongea nawe waweza kuwa taa yangu kwa kunishauri vitu fulani kama vitano hivi.
Mungu atakulipa
Nakushauri, yafuatayo! Jiondoe FB, Uninstall whatsapp, jiunge na Quora.com, pitiapitia jf mwisho kabisa usimtafute ONTARIO
 
Namuona mwizi wa TMT anajikong'oja,any way ajibu tuhuma za watu kulazimishwa kutumia JP markets brokers
Acha uongo hakuna anayelazimisha kutumia jpm kama hataki kuwa part ya TMT. Unaweza kupata training tu na ukaendelea na issue zako sasa hapo unalazimishwa vipi?, ila ukitaka kuwa member wa TMT ndio unawajibika kufuata terms and conditions ambazo ziko wazi kabisa kabla hujaanza training. Mbona toka jana hakuna mtu aliyejitokeza kusema kaibiwa, ila watu baki ndio mnalalamika. Hela sio za kwenu kinawauma nini? -uliwasaidia kutafuta? Zikiibiwa si za kwao?, wewe zinakuhusu nini? -wivu tu.
 
Marvelous! Tunahitaji vichwa hata kumi tu kama vyako kuibadilisha Tanzania kuwa technology hub, trust me kuna vijana wana uelewa mkubwa sana wa haya mambo, hasa waliosoma IT, hongera kwa somo zuri

Mkuu kimsingi alichofanya Ontario wala si prediction ameelezea alichosoma kwa kifupi. Na hiyo techonology inayoelezwa hapo haiwezekani Bongo kutokana na massive investment inayohitajika. Kama unataka kuona vijana wa Tanzania wanafanya nini nenda pale Buni Hub au Sahara Sparks.

Na by the way kinachohitajika si watu waliosoma IT, IT ni suala dogo sana hizo research ziko pioneered na watu waliobobea kwenye natural sciences kama quantum physics, thermal dynamics, neural sciences etc.
 
Uongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"

-Tera La Vista

hapo hata mimi nimeshindwa kuelewa mkuu aisee..!!!! nimejaribu kujiwazisha yaani unaprint nyumba kuanzia msingi,ukuta,kupauwa mpaka tiles na masink ya vyoo...!!!!!?????...makala yote nimeilewa ila hapo ontario kaniacha...
ngoja nimuhulizw...
 
Hahaaaaaa hadi shimo la choo inachimba..!
Usisahau kasema kua ipo siku utasafiri kwa eMail hadi marekani sasa sijui utatokaje..
Pia ukiagiza gari japan utatumiwa kwa Email ukaitoe kwa wakala..

ngoja waje watuprintie misitu na mito iliyokauka......
daaaaaaddeeeeekiiii......
 
Back
Top Bottom