James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Ni mkusanyiko mzuri wa yale yanayoendelea ktk dunia ya kwanza.
Elon Musk kwa jinsi ninavyo muona atakuja kuwa tishio sana kiusalama wa dunia USA wamempa clearance kubwa sana ktk mambo ya anga na anakituo chake mwenyewe anajiendesha mwenyewe. Inaweza kufika siku aka atumia vifaa vyake vya anga kwa manufaa fulani yasiopendeza.
Kuhusu digital money nisawa. Lakini nchi kama za Africa naona zitakuwa na loss kwasababu hakuna uahakika wa internet na umeme. Na internet na spidi yake wanamiliki wazungu naona tutapigwa bao sana endapo wataamua kujinufaisha kwa njia zisizo za kihalali.
Hongera kwa simulizi nzuri.