Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ahhaha Ndio maana Root kachoka kuchekaTekno lojia bana we acha tu hadi kudanload hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhaha Ndio maana Root kachoka kuchekaTekno lojia bana we acha tu hadi kudanload hela
Pole ndugu yangu mi siku hizi siasa wala siiwazi sana inachukua asimilia kidogo sana kwangu.......nahisi niko poa sana kuliko zamaniViongozi wote wa kiafrica ni wazee wenye fikra za miaka 1600 iliyopita halafu unataka mfike?
Maji safi ndani ya jiji la Dar ambalo limezungukwa na bahari ila maji tu ni kimbembe...
Hadi sasa hivi viongozi wetu wanapambana na ufisadi na kuteuwa na kutengua unafikiri kuna wakati watapata mda na kukaa chini na vijana wenye vipaji na kuona ni jinsi gani ya kuviendeleza?
Kule Zanzibar tumeambia leo kuna vijana wameunda ndege ila ukijaribu kufuatilia mwisho wake unaweza kulia..
Kule yule ndugu yetu wa mbeya aliyeunda helcopta mnajua alipo na anafanya kitu gani serikali au kuna makampuni ya ndani yamemsaidia kifedha kukamilisha project yake?
Huyu Musk ni mzaliwa wa Africa Kusini mkaburu alizamia canada ili apate urahisi wa kuzamia Marekani, ss hivi huyo anafanya maajabu...
Africa kinacho wamaliza ni siasa kitu wanaingiza siasa, mtu anasoma masomo ya niclear mwisho anakuja kuchukua form ya kugombea urais au ubunge
Mambo mengine kuyawaza yanatia sana hasira...
Mzee baba pole sana.. Kwenye fb yangu nimelike page inayoonyesha technologia za marekani na moja kati ya video niliyoona ni ya nyumba kufyatulia kwa dakika mbili tu tayari nyumba mtu unaishi. Nyumba ile niliyoona inafanana kabsa na aina ya nyumba aliyoonyesha bwana Ontario ya 3D tofauti ni ukubwa, ile niliyoona ilikuwa ndogo na hii aliyopost ni kubwa. Sasa kivumbi na jasho ni aina ya mashine inayofyatua hizo nyumba. Unaweza kuzani ni komplex type of mashine na kwamba ni likubwa kuzidi hata nyumba yenyewe. But ukweri ni kwamba mashine yenyewe imekaa kama muundo wa peni ila kubwa kuzidi peni na inakontoroliwa na mtu mmoja anakuwa kama vile anachora nyumba, ule wino unaotoka kwenye ile peni ndo ukuta wa nyumba unajengwa kiivyo. Ludi tena angalia hyo picha ya hyo nyumba ya 3D utaona ukuta na paa vinafanana.Uongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"
-Tera La Vista
Eti ujitathimini??unajua nikisoma nacheka na ninapata huruma sana..ivi kama ww dogo nduguzo wanakutegemea uko kijijin uwakomboe alaf ww umeweka miguu mezani unaprint dollar..unajitambua kweli??Watu wana roho za chuku na kutu hivi? jamaa ameleta uzi ujitahimini lakini chuki chuki chuki
Naona umetaja maQS daah inabidi nianze kujitathimini asee
Thank you kiongozi
Ww dogo umekuwa ukijipendekeza sana kwa uyu jamaa..lakini mpaka sasa unalamba bakuli tu..Mkuu ONTARIO kwanza nikupe pongezi kwa kuandika huu uzi, pia kwa challenges za kijinga unazopata kwa watu wasiotumia akili zao kwa ufasaa!!
Sasa mkuu...
1. Kwa unavyoiona Tz je unahisi tutakaa tufike huko? Tufanye nini na sisi maana ndio kwanza maji tu vijiji shida!
2. Nilisoma kitabu cha Elion Musk kinaitwa "the engineer"...historia yake ni kwamba yeye sio injinia by proffession ila ni mwana fizikia, je unaonaje mfumo wa elimu zetu? Je ndio chanzo cha haya yote?
3. Je kwa mchakato huu wa Tanzania ya viwanda unaweza kutufikisha huko?
Kama elimu hii hii ilikopiwa ya wazungu mbona wazungu wananufaika kuliko sisi, what is wrong with us?
(Kwa kweli imeniuma sana hasa ukizingatia wenzetu walipo na sisi tulipo!)
Mkuu jambazi post nzuri sana hii... Ila naomba nikirekebishe, elion musk alizaliwa canada na akiwa mdogo waliamia south africa baada ya matatizo ambayo baba yake aliyapata wakiwa canada, then later elion mwenyewe alirudi canada kwa masomo ya chuo kikuu na baadae akaamia marekan kwa ajili ya kuendelea na chuo!!Viongozi wote wa kiafrica ni wazee wenye fikra za miaka 1600 iliyopita halafu unataka mfike?
Maji safi ndani ya jiji la Dar ambalo limezungukwa na bahari ila maji tu ni kimbembe...
Hadi sasa hivi viongozi wetu wanapambana na ufisadi na kuteuwa na kutengua unafikiri kuna wakati watapata mda na kukaa chini na vijana wenye vipaji na kuona ni jinsi gani ya kuviendeleza?
Kule Zanzibar tumeambia leo kuna vijana wameunda ndege ila ukijaribu kufuatilia mwisho wake unaweza kulia..
Kule yule ndugu yetu wa mbeya aliyeunda helcopta mnajua alipo na anafanya kitu gani serikali au kuna makampuni ya ndani yamemsaidia kifedha kukamilisha project yake?
Huyu Musk ni mzaliwa wa Africa Kusini mkaburu alizamia canada ili apate urahisi wa kuzamia Marekani, ss hivi huyo anafanya maajabu...
Africa kinacho wamaliza ni siasa kitu wanaingiza siasa, mtu anasoma masomo ya niclear mwisho anakuja kuchukua form ya kugombea urais au ubunge
Mambo mengine kuyawaza yanatia sana hasira...
Eti ujitathimini??unajua nikisoma nacheka na ninapata huruma sana..ivi kama ww dogo nduguzo wanakutegemea uko kijijin uwakomboe alaf ww umeweka miguu mezani unaprint dollar..unajitambua kweli??
Haya tizama uyo anaitwa Mentor maisha yake kabla ya kuja kuwageuza nyie misukule yalikuaje??ivi ata kujiongeza kidogo huwezi au ndio kanyama kanafanya kazi??rubbish
Roho za chuku na ujitahimini hizi ni lugha za forex au za car printing?
Majibu yako yanaonyesha utapia mlo ulionao kichwani..Kijana naomba kaa mbali na mimi, situmii senti yako mfukoni kukamilisha mambo yangu kwanini moyo wako unaumia sana kwa pesa za jasho langu? kwanini unakinyongo kwa pesa za mahangaiko yangu? kwanini unachuki binafsi kwa pesa yangu mwenyewe?
ACHA WIVU, Kila mtu afanye anachoona kina faida kwake kama wewe hakina ACHA
Majibu yako yanaonyesha utamiamlo ulionao kichwani..rubbish
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na papuchi tutakua tunakula wirelessly kwa hiyo wadada mjiandae!!!