Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
I will be back again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli lakini ukweli utabaki palepale kuwa hakuna kitachomzuia binadamu kuendelea kuwa pale alipo kweli ugunduzi wa hli ya juu unafanyika mpaka wakumfanya binadamu aamue kufanya mambo ambayo yanatakiwa kufanywa au kuongozwa na nature like kuchagua ndoto ykuota usiku kabla ya kulala kujagua niainagani ya sensation anayoitaka wakati wa kusex lakini vyote hivi ni kazi y mikono ya binadamu lazima binadamu uwepowake uhitajike katika kila nyanja hata tech ikifikia kiwango kipi.mimi binafsi sina hofuna yajayo sababu hakuna kilichojuu ya uwezo wa wanadamu lets back to years of computer intro tuseme in early of 80's kila mmoja alijua computer inaakili ziadi ya mwanadamu lakini wlipokuja kujua yote ile ni akili ya mwanadamu leo tunaona dunia ni rahisi sababu hiyo!!hakuna wakushinda na uwezo wa muumba hivi vyote nikati ya chembechembe ndogo sana za akili ya Mungu
mkuu ONTARIO naomba ufafnuzi hapo kwenye technology ya 3D printing,hasa uliposema kuwa huko china kuna ghorofa la ngazi 5 limejengwa kwa siku 17 na kuhusu hilo gari la ku-print linafanya kazi au ni gari la pambo?
KAKA
Amka hayo maelezo yote ni mbwembwe tu..
Kuna kitu huyu jamaa anataka kukisema atunishe mfuko. Lengo la post yake ni hii..
Blockchain ya kwanza duniani iliundwa na mtu mmoja asiyejulikana ama kundi la watu wasiojulikana anayetambulika kwa jina la Satoshi Nakamoto mwaka 2008, teknolojia hiyo ikaanza kutumika mwaka 2009 kwa product ijulikanayo kama Bitcoin.Juzi tumeona Bitcoin 1 ikiwa na thamani ya $20,000. Muda huu natype huu uzi tayari kuna zaidi ya cryptocurrencies 1300, kama nilivyosema awali, teknolojia ni kama radi, kamwe huwezi kuizui kwa mkono, hata kama hatuyataki haya mapinduzi bado yatatufikia tu.
Ninachoamini miaka kadhaa pesa itakuwa full digitalized na decentralised, hakutakuwa tena na hizi noti na sarafu bali tutakuwa na cryptocurrencies nyingi, tayari dunia ipo huko, lkn watu hawajaanza kuadapt mabadiliko, hapa ndio hua nasema only the fit will survive. Mzee baba Bill gates tumeona akitia mzigo kwenye crypto iitwayo Ethereum sawa na makampuni kama Itel, JP Morgan, Watu kama kina JohnMcafee na Mark Cuban wote wanatia mizigo yao huku. Kama mtu aliyesmart mwaka 2012 angenunua bitcoins 102 kwa $100 tu,leo hii mtu huyo huyo angekuwa na $1,667,000 kutoka $100. Hapa ndio inakuja ile, I wish, I could, I would, I should.
Mimi binafsi hivi vitu nimechelewa kuvijua, na wala sijilaumu na sasa nimetumia muda mwingi sana kuvifahamu kwa undani. Kama Jan 2017 mtu angewekeza $1000 kwa kila 1 ya top 7 cryptocurrency yani Bitcoin, Ethereum, Ripple, Litecoin, Monero, Dash na Neo leo hii mtu huyo angekua anavuna $1,156,000 kiutani utani tu. Mimi Sept mwak jana nilitumia $800 kununua ripple 8012, leo hii kila coin 1 ya ripple inathamani ya $3 na si ajabu by December mwaka huu coin 1 ya ripple ina thamani ya $100. Siku si nyingi sana nimeinvest $103 kwenye coin inaitwa mintchip nimenunua coins 100,050 ndani ya masaa machache nimeweza kutripple capital na hapa plans zangu niendelee kuhold hadi December ambapo labda coin 1 itakuwa na thamani ya $1 kwa hivyo investment yangu ya $100 itakuwa imeleta zaidi ya $100,000 kiutani utani.Tumeona hii inawezekana baada ya ripple kutoka $0.0063 hadi $4 kuanzia Jan 2017-Jan 2018.Huku ndipo dunia ilipofikia. Muda huu unasoma hii thread fahamu kuwa Larsen Founder wa Coin ya Ripple ndio tajiri namba 5 duniani, kawaacha kina Mark Zuckerback wa FB na hata mafounder wa Google Larry Page and Sergey Brin. Mpk mwaka unaisha jamaa atakua anamtuma Bill Gates sokoni akamnunulie ugoro.
ww kama unafahamu nielezeeingia youtube angalia, hayo mambo ya 3D PRINTING nimeyajua ARDHI UNIVERSITY, hata MUST pia hio technology wanayo
Hapo ndio point yake kubwa.
Halafu it is so so sad,idadi kubwa ya population ni low IQ watamfuata huyu mwizi all the way through!
!
asieee nimecheka mpaka basiMi huko mbele ntakua printer wa papuchi ...
huyu dogo ni tapeli sana asipoacha utapeli watakuja mchoma moto raia.. alianzia mbali forex na baadae akapiga hela za watu akaenda kulimia... na kuwaambia wasubiri wata download hela mwisho wa siku wameambulia manyoya... sasa kaja na mbwembwe nyingiiii mwisho wa siku watu watapigwa hela na kubaki manyoya.. na safari hii ndio watamtia kiberiti
Leo nimeona video ya 3D brick layer machine. Kwa kifupi inapandisha boma.Inshort wanaprint parts za kutengeneza nyumba sio nyumba yote kwa pamoja.alafu wana assemble manually
Jf tuna wajinga wengi sana. Wameaminishwa hizo conspiracies (regard Ontario he is an Athiest) na ndio watz wanazipenda. Na anajua wengi ni mbumbumbu. Yeye anawaambia hayo ni mkulima na mfugaji wa kuku, ila viwatu vimetega kusikia ujinga..Hapo ndio point yake kubwa.
Halafu it is so so sad,idadi kubwa ya population ni low IQ watamfuata huyu mwizi all the way through!
So sad!
No matter how you alert these fools,they will never learn!
Tatizo lako unafikiri paper printing hizi zipo sasa. Si hadithi. Google 3D printing ujioneeHii hata mimi kila nikijaribu "kulisukumizia" kwenye ubongo wangu linakataa kabisa,sasa kama nyumba inakuwa printed inamaana hilo printer lenyewe lina ukubwa kiasi gani?......lakini pia kuna lile la kumfyatua binadamu kama tofali maabara,hili nalo japo ni tecknolojia ila nahisi kama "kamba" hivi ila sijui tuendelee kusubiri lakini sidhani.
Tusipende kujadili mtu jadili idea au mawazo!Naona hata style yao ya uandishi inafanana sana...ni ngumu kutofautisha
Hapana ni watu wawili tofauti, ila ni marafiki wakubwa
huyo alosema atakuwa ana print papuchi. MUNGU anamuona walah .@ONTARIO ubarikiwe uzi mrefu lakini usingizi ulikata kwa ajili ya maneno matam yaliyomo humu.asieee nimecheka mpaka basi