Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Huwa nasikitika sana na baadhi ya watu hapa JF yaani mtu anamchukia mtu bila sababu kama una hoja lete ubishane kwa hoja na si kulete maneno ya kwenye kanga kwenye uzi wa mtu.Kama hupendi au unakereka na mtu basi ukiona uzi wake pita kushoto,mfano mimi huwa sifungui nyuzi za GUDUME na BEIRA BOY na maisha yanakwenda tu...najua kabisa nikifungua tu watanikera
 
Hii inadhihirisha ni jinsi gani watanzania tuna wivu, chuki, kinyongo kuanzia kiongozi wa juu mpaka mtanzania wa chini.

Kijana kaleta uzi, badala mjadili mada mmeanza kumtupia maneno machafu!!

Sizani kama wenzetu wangeanza kumtusi kabla ya kufanya walau karisechi!!

Kama mnaona mada zimewazidi IQ ni bora mkae pembeni.

Huu wivu, chuki, visasi na vinyongo ndio vinaendelea kutuweka tulipo, watanzania tubadilike!!

Mzee uwe unatumia akili...

Nani amuonee wivu?Nani anamjua in a personal level mpaka amuonee wivu?

Uelewe kua jamaa ni proven scammer!That you cant refute!

Mbwembwe za kutoa makala za kuelezea AI na futuristic innovations ambazo ni public knowledge sio issue hata kidogo.

Mada zimemzidi nani IQ?Unawajua watu wote humu na level zao academically mpaka wasiwe capable kuelewa story kama hizi?Sidhani kama unanielewa hata kidogo..Ni ujinga wa hali ya juu kama unadhani mtu kujua story za kitu katika end user perspective ndio IQ,tatizo lenu mtakua mangwini user/front-end perspective knowledge ndio mnadhani ndio kujua kila kitu.Thats cute,sasa mje na nondo za back-end,from ground up engineering transformation atom-to-atom of a product mpaka upate final user-ready product.Tufanye mfano mmoja tu wa teleportation system,walao tu-discuss possible engineering modellings which can possibly perform in real life conditions. Shida za gwini ndio hizi,akishajua habari ya kitu au technology on the surface anajua watu wengine wote wapumbavu.It is so sad.

Mimi nilikua mkali pale ninapoona,a known scammer Ontario is coming back again with some stupid washed-up articles trying to organize another group of fools to scam again.His real target ni cryptocurrency selling,the other paragraphs are just smoke screens.

Shida ni kwamba 80% of the population in any country are dumb people.No matter how much u alert them,they will get scammed either way.It is sad Ontario will scam these motherf**ckers again no matter how much we peak here.He scammed stupids on FOREX and now he will scam your ugly asses again.

Mtu ambae hajui hizi habari anazoongea Ontario(ignorants) will view this as a ground breaking information and then you will be gravitating to cryptocurrency scams.Shida ni kwamba many dump people do not know the ins and outs of cryptocurrency scams.The 80% of stupid people here will be trapped,and thats good for them to learn a lesson or two!
 
Nikweli lakini ukweli utabaki palepale kuwa hakuna kitachomzuia binadamu kuendelea kuwa pale alipo kweli ugunduzi wa hli ya juu unafanyika mpaka wakumfanya binadamu aamue kufanya mambo ambayo yanatakiwa kufanywa au kuongozwa na nature like kuchagua ndoto ykuota usiku kabla ya kulala kujagua niainagani ya sensation anayoitaka wakati wa kusex lakini vyote hivi ni kazi y mikono ya binadamu lazima binadamu uwepowake uhitajike katika kila nyanja hata tech ikifikia kiwango kipi.mimi binafsi sina hofuna yajayo sababu hakuna kilichojuu ya uwezo wa wanadamu lets back to years of computer intro tuseme in early of 80's kila mmoja alijua computer inaakili ziadi ya mwanadamu lakini wlipokuja kujua yote ile ni akili ya mwanadamu leo tunaona dunia ni rahisi sababu hiyo!!hakuna wakushinda na uwezo wa muumba hivi vyote nikati ya chembechembe ndogo sana za akili ya Mungu
Pia haya matechnology ni dalili tosha Mungu anatuonyesha kwamba baada ya kufa "Pepo ipo" na kwamba huu ni mfano tu.
 
Mzee uwe unatumia akili...

Nani amuonee wivu?Nani anamjua in a personal level mpaka amuonee wivu?

Uelewe kua jamaa ni proven scammer!That you cant refute!

Mbwembwe za kutoa makala za kuelezea AI na futuristic innovations ambazo ni public knowledge sio issue hata kidogo.

Mada zimemzidi nani IQ?Unawajua watu wote humu na level zao academically mpaka wasiwe capable kuelewa story kama hizi?Sidhani kama unanielewa hata kidogo..Ni ujinga wa hali ya juu kama unadhani mtu kujua story za kitu katika end user perspective ndio IQ,tatizo lenu mtakua mangwini user/front-end perspective knowledge ndio mnadhani ndio kujua kila kitu.Thats cute,sasa mje na nondo za back-end,from ground up engineering transformation atom-to-atom of a product mpaka upate final user-ready product.Tufanye mfano mmoja tu wa teleportation system,walao tu-discuss possible engineering modellings which can possibly perform in real life conditions. Shida za gwini ndio hizi,akishajua habari ya kitu au technology on the surface anajua watu wengine wote wapumbavu.It is so sad.

Mimi nilikua mkali pale ninapoona,a known scammer Ontario is coming back again with some stupid washed-up articles trying to organize another group of fools to scam again.His real target ni cryptocurrency selling,the other paragraphs are just smoke screens.

Shida ni kwamba 80% of the population in any country are dumb people.No matter how much u alert them,they will get scammed either way.It is sad Ontario will scam these motherf**ckers again no matter how much we peak here.He scammed stupids on FOREX and now he will scam your ugly asses again.

Mtu ambae hajui hizi habari anazoongea Ontario(ignorants) will view this as a ground breaking information and then you will be gravitating to cryptocurrency scams.Shida ni kwamba many dump people do not know the ins and outs of cryptocurrency scams.The 80% of stupid people here will be trapped,and thats good for them to learn a lesson or two!
Brother, thanks for your concern about this whole damn thing!

Please do us a favor, hebu prove kama huyu jamaa ni tapeli. Na utuambie ni nani alietapeliw na huyu jamaa na kwa njia zipi ili tuchukue tahadhari.

Otherwise, you'll be making empty accusations that can only be driven by hate!

Let's discuss facts, amemtapeli nani?
 
Upepo wa Pesa Mzee it is a FACT kaibia watu FOREX!

Wapo humu walioibiwa hela.Just weka tangazo utawaona!

Bwana Upepo wa Pesa,wewe kwa ubongo wako sidhani kama unaweza amini kua Bwana Ontario ana Software System yenye Self Driven algorithm ambayo inakupa faida kwenye FOREX trading even if go to sleep.There is no such algorithm,if is for you to make profits,who will be loosing in order for u to get profits,whereby these same people use the same software algorithm in the same trading platform?
 
Brother, thanks for your concern about this whole damn thing!

Please do us a favor, hebu prove kama huyu jamaa ni tapeli. Na utuambie ni nani alietapeliw na huyu jamaa na kwa njia zipi ili tuchukue tahadhari.

Otherwise, you'll be making empty accusations that can only be driven by hate!

Let's discuss facts, amemtapeli nani?

Fanya zoezi dogo tu.Fungua uzi mpya andika "Nani Katapeliwa Forex Trading na Ontario",halafu uone watakaojibu.Pia wape ruksa ya kukutumia DMs kama mtu anaona noma kusemea kwenye uzi.

Au andika tu "Nani Kapata Hasara Kwenye Forex Trading Kupitia Platform Ya Bwana Ontario".You will get more DMs than Mark Zukerberg will ever dream of.

Fanya hilo zoezi halafu utanipa majibu!
 
nimesoma kwa makini kweli nikajua kuna sehemu ntaona wanasayansi wamegundua dawa ya kifo hakuna ni porojo porojo nyingiii

ngazi za umeme,mashine za kilimo zipo ulaya tangu miaka ya mia 8 hadi leo 2018 kwetu hazijafika bado tudanganyane eti 2020-30 kutakuwa na mabadiriko makubwa hayo yanawahusu ulaya

hakuna kipya sayansi imegundua sema inafanya maboresho tu. igundue maisha ya milele ndo tutaiamini,,,,,igundue kwa nini tunakata moto na dawa yake ni nini? (ama tujivua gamba kama nyoka)
 
Aya basi tufanye dhumuni la mada ni bitcoin na Ontario anataka kupiga pesa mfano ndoanataka kuanzisha movement ya mafunzo kwani tatizo lipo wapi akipiga izo pesa na waliopigwa pesa wakapata mafunzo

In summary
*Ontario kapata pesa za mafumzo
*waliopigwa pesa wamepata knowledge

Tatizo lipowapi sasa apo au chuki ni yeye kupata pesa ambazo zinawasaidia watu kupata knowledge

au munavyozungumzia kupiga pesa munamaanisha nini kwasabu mfano kwenye forex kuna aliyetoa pesa ya mafunzo uku akijua akilini mwake izo pesa apati Ontario tulijua anapata pesa nyingi lakini dhumuni letu sisi nikupata mafunzo sasa utasemaje tumepigwa pesa nakati mafunzo tumepata
 
Dah! Kweli nimeamini ule usemi kuwa wabongo wamebakiza stage moja tu ili waitwe wachawi na wakabidhiwe tunguli, iv ni kipi kinachofanya mumchukie hyu dogo? Mnamuita mwizi amewaibia nn??mara ooh! Tapeli anewatapeli nn?? Km ni fursa ameona mwacheni azitumie mradi hajakupiga kabali na kuchukua hela zako kwa nguvu! Kijana wa watu maskini anapambana ili kesho yake iwe bora mnamuona mwizi wakati hajawaibia chochote badilikeni sio poa
Swali unalotakiwa ujiulize ni kwanini unakuwa mwepesi kutumika kama toothpick kwa faida ya dogo.

Hakuna ktk dunia hii tajiri aliyewwahi kuweka siri hasa au njia aliyotumia kutajirika..izi porojo mnazolishwa na matokeo mnageuzwa kama misukule mnashindwa kuhoji vitu
 
Fanya zoezi dogo tu.Fungua uzi mpya andika "Nani Katapeliwa Forex Trading na Ontario",halafu uone watakaojibu.Pia wape ruksa ya kukutumia DMs kama mtu anaona noma kusemea kwenye uzi.

Au andika tu "Nani Kapata Hasara Kwenye Forex Trading Kupitia Platform Ya Bwana Ontario".You will get more DMs than Mark Zukerberg will ever dream of.

Fanya hilo zoezi halafu utanipa majibu!
Wewe ulianzisha uzi ndio ukawaona waliotapeliwa?

Ontario ana platform? Inaitwaje mkuu ili niicheck sasa hivi?

Nilitegemea kuona mtu akisema Ontario ni tapeli kaniibia pesa kiasi kadhaa kwa namna a b c.

Lakini badala yake naona anaitwa tapeli, ukiuliza kamtapeli nani unaambiwa anzisha Uzi eti utapokea DM za waliotapeliwa!

Kama mtu ni tapeli alafu mnashindwa kuweka ushahidi ili achukuliwe hatua basi nyinyi ndio tatizo!

Usiku mwema
 
Mzee it is a FACT kaibia watu FOREX!

Wapo humu walioibiwa hela.Just weka tangazo utawaona!

There is no such algorithm,if is for you to make profits,who will be loosing in order for u to get profits,whereby these same people use the same software algorithm in the same trading platform?

Only FOOLS join these lunatics.I can mention these fools here one by one!it is so so sad!
Mkuu embu twende hoja kwa hoja...tuweke mihemko pembeni!

Bwana Upepo wa Pesa,wewe kwa ubongo wako sidhani kama unaweza amini kua Bwana Ontario ana Software System yenye Self Driven algorithm ambayo inakupa faida kwenye FOREX trading even if go to sleep.
Ni wapi bwana mdogo alishawahi kusema ana software ambayo inakupa faida hata kama umelala? Je unaweza thibitisha beyond reasonable daught kwamba jamaa alisema hiki kitu?
 
acha kusapoti utapeli wewe .. usiwe msukuleee.. nchi ina matatizo mengi sana mojawapo ni ujinga wa watanzania kama wewe.. unafikiri wanaozuia utapeli ni wajinga wajinga...

Dear Nairalanders,

We are completely banning the promotion of forex trading and sports betting on Nairaland.

Forex day-trading and sports betting are fundamentally fraudulent because they're promoted as a quick way of making money whereas due to mathematical facts, the only people who make money are the middlemen and marketers. The "investors" almost always lose their money.

In our experience, it's not enough to warn Nairaland members about the dangers of forex day-trading and sports betting. The promise of quick profit is just too strong for thousands of vulnerable Nairaland members to resist. The only way to protect them is complete censorship.

We believe that the complete ban of such content will make Nairaland a better platform for discussing legitimate entrepreneurship and finance

Wewe ulianzisha uzi ndio ukawaona waliotapeliwa?

Ontario ana platform? Inaitwaje mkuu ili niicheck sasa hivi?

Nilitegemea kuona mtu akisema Ontario ni tapeli kaniibia pesa kiasi kadhaa kwa namna a b c.

Lakini badala yake naona anaitwa tapeli, ukiuliza kamtapeli nani unaambiwa anzisha Uzi eti utapokea DM za waliotapeliwa!

Kama mtu ni tapeli alafu mnashindwa kuweka ushahidi ili achukuliwe hatua basi nyinyi ndio tatizo!

Usiku mwema
 
Uelewe kua jamaa ni proven scammer!That you cant refute!
Katika hoja yako ndefu nimefurahishwa na hii line!

Je kama ontario ni "proven scammer" kwanini usimshitaki ili achukuliwe hatua kama kweli unaamini ulichoandika ni "proven" au ni kitu cha uhakika?

Kama huwezi kumshitaki au kuthibithisha ulichoandika, nikisema una chuki na wivu nitakua nimekosea?
 
Mkuu embu twende hoja kwa hoja...tuweke mihemko pembeni!

Ni wapi bwana mdogo alishawahi kusema ana software ambayo inakupa faida hata kama umelala? Je unaweza thibitisha beyond reasonable daught kwamba jamaa alisema hiki kitu?

Mzee,hapa ni catchment area yake...ukishashikwa hapa,sometimes anawaita kwenye trainings zake,huko ndio wanapewa maneno ya ndani kuhusu hiyo occult ya uongo uliotukuka ya hiyo trading platform yao...Nimekwambia,ufungua uzi andika "Nani Kapata Hasara Kwenye Forex Trading na Bwana Ontario" utapata majibu na DMs za kutosha,waulize watakuambia ujinga wote wanaoambiwa.

Na kibaya zaidi,bwana Ontario anawaongelea very smooth,na amejenga persona kwamba ni mtu very intelligent na very successful hivyo dump followers is all what they need to believe.
 
hakuna kipya sayansi imegundua sema inafanya maboresho tu. igundue maisha ya milele ndo tutaiamini,,,,,igundue kwa nini tunakata moto na dawa yake ni nini? (ama tujivua gamba kama nyoka)
Wazungu wamefanya yote hayo ila wameshindwa hiki, sasa kwanini wewe au sisi tusifanye hiki walichoshindwa ili tuwazidi?

Maana nikiangalia kwa umakini ulichoandika hapa ni kama unasema "they did nothing"! tunarudi kule kule kwenye chuki na ubinafsi na wivu uliotujaa watanzania!
 
Mzee,hapa ni catchment area yake...ukishashikwa hapa,sometimes anawaita kwenye trainings zake,huko ndio wanapewa maneno ya ndani kuhusu hiyo occult ya uongo uliotukuka ya hiyo trading platform yao...Nimekwambia,ufungua uzi andika "Nani Kapata Hasara Kwenye Forex Trading na Bwana Ontario" utapata majibu na DMs za kutosha,waulize watakuambia ujinga wote wanaoambiwa.

Na kibaya zaidi,bwana Ontario anawaongelea very smooth,na amejenga persona kwamba ni mtu very intelligent na very successful hivyo dump followers is all what they need to believe.
Naona unazunguka sana,

Hoja yangu ya msingi ni hii...

Ni wapi bwana mdogo alishawahi kusema ana software ambayo inakupa faida hata kama umelala? Je unaweza thibitisha beyond reasonable daught kwamba jamaa alisema hiki kitu?

Tafadhali naomba majibu ya hoja yangu!
 
acha kusapoti utapeli wewe .. usiwe msukuleee.. nchi ina matatizo mengi sana mojawapo ni ujinga wa watanzania kama wewe.. unafikiri wanaozuia utapeli ni wajinga wajinga...

Dear Nairalanders,

We are completely banning the promotion of forex trading and sports betting on Nairaland.

Forex day-trading and sports betting are fundamentally fraudulent because they're promoted as a quick way of making money whereas due to mathematical facts, the only people who make money are the middlemen and marketers. The "investors" almost always lose their money.

In our experience, it's not enough to warn Nairaland members about the dangers of forex day-trading and sports betting. The promise of quick profit is just too strong for thousands of vulnerable Nairaland members to resist. The only way to protect them is complete censorship.

We believe that the complete ban of such content will make Nairaland a better platform for discussing legitimate entrepreneurship and finance
Ni wapi nimesema namsupport?

Copy and paste from Nairaland ndio proof kwamba huyu jamaa ni tapeli?

Narudia tena, kama unaushahidi kua Ontario ni tapeli alafu hutaki kuutoa ili achukuliwe hatua basi wewe ni tatizo.

Na kama unamuacuse tu kua ni tapeli bila kua na ushahidi, basi wewe ni tatizo.

Lete hoja mkuu, sio habari za kusadikika!
 
Huu sio wakati wa kupingana na uhalisia kuhusu teknolojia, mi nafikiria njia sahihi ya kukimbizana na hii kasi ya teknolojia ni kusoma, tena sana, angalau kama hutaweza kugundua chochote basi uwe na skills za kutumia kile kilichogunduliwa na wengine na kuendana na wakati uliopo,. Unaweza ukawa unajitathmini unaona umri wako umeenda na kuwa huna haja ya kuihangaika kusoma na kuifaamu teknolojia kiundani, ila usije thubutu kuacha kosa ulilolifanya wewe aje na mwanao alirudie, anza kumwandaa kisaikolojia kuanzia sasa kuwa mambo yanabadilika, jaribu kumchanganyia mambo sio mwanao anaenda shule siku anasoma nzima, alafu muda wa masomo ukiisha, unamtafutia/mlipia masomo ya ziada na huko anafundishwa tena yaleyale anayoyasoma kila siku asubuh adi jioni,. Badala yake unaeza mtafutia short training zinazohusiana na information technology,ii ndio ikawa evening class kwake ,iwapo mitaala inayotumika mashuleni isiporekebishwa iendane na zama hzi basi mwishoni wasomi wanaozalishwa watakujapata changamoto linapokuja suala la matumizi ya teknolojia mbele yao.
 
Back
Top Bottom