Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Kupata hasara ktk biashara hasa ya forex kupo na hautendi haki kuita hasara apatayo mtu ktk biashara ya forex basi kuna utapeli.
Binafsi nimewahi pata hasara tena ya kuridhisha na hasara yangu siwezi ihusisha na mtu yoyote bali niliichukulia kama changamoto ktk kujifunza na sasa niko sawa na hii imetokana na kujifunza kutokana na makosa.
Mtu mwenye sense fulani ya ziada atajiuliza iweje watu wengine wapinge kwa nguvu sana watu kufahamu uelimu fulani,iweje waumie hivi, Ila majibu ninayo.
Mkuu Singo.
Unanishangaza sana,mtoto wa kiume unaingia kwenye "Forex" lunacy,halafu proudly unakubali umepoteza hela zako halafu unajiona ulitumia maamuzi sahihi?
Yaani ulishindwa hata kutumia "GOOGLE" kujielimisha kwanza kuhusu autheticity ya hii "Forex Game"?
Nina wasiwasi mpaka sasa hivi hujasoma chochote,hujajifunza huko duniani wanasemaje kuhusu this thing,peer reviews zinasemaje,na nchi zenye akili zime-handle namna gani huu ujinga.Mpaka sasa hivi Im 100% sure hujasoma chochote zaidi ya sound za Ontario kichwani mwako.
Fanya hivi,use the godamn "GOOGLE" to learn whats going on about what u think it is a "business"!
Ndio maana watu wanapata shida sana kuwaelewesha mkaelewa.
Soma,elewa,halafu njoo hapa tuanze kubishana kifundi,tuwekeane na links za huko duniani wanasema,na walipitia huu ujinga kivipi na waliupiga chini kivipi,etc