James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Ni kweli ipo. Lakini labda niniueleweshana kuwa inasemwa printed house haimanishi mfumo wa kuprint kama karatasi. Ila ni mashine inayotumia tengeneza nyumba kulingana na ramani iliyisetiwa ktk hiyo mashine. Nafkiri kuna video zingewekwa humu zitasaidia.Hii kitu ipo kweli mkuu.. Jaribu kufuatilia vizuri tu
baba angalukuwa na uwezo angalinisomeshaTatzo ni kukwepa umande
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haaa haaaPathetic looser!! Jifunze kuandika kwanza
Inshort wanaprint parts za kutengeneza nyumba sio nyumba yote kwa pamoja.alafu wana assemble manuallyNi kweli ipo. Lakini labda niniueleweshana kuwa inasemwa printed house haimanishi mfumo wa kuprint kama karatasi. Ila ni mashine inayotumia tengeneza nyumba kulingana na ramani iliyisetiwa ktk hiyo mashine. Nafkiri kuna video zingewekwa humu zitasaidia.
It will be an insult to my level of intelligence kukujibu dawa ya kienyeji kama wwNa wewe pinga kwa hoja mipasho hatutaki humu
Hebu niambie umeizidi nini teknolojia?Hakuna hata siku moja tekinolojia itakuja kumzidi mwandamu.
Kila siku tekinolojia inazidi kukua kwa sababu ya uwepo wa uwezo wa mwanadamu!
Umechekea niniNimecheka kifua chauma
Kuna hii bookshop mlimani City inautwa MAK ndio nanunua vitabu vingi kwa hapa Bongo. Lakini mara nyingi hua nanunua nikiwa nje ama kuorder moja kwa moja.
baba angalukuwa na uwezo angalinisomesha