Sisomi comment za humu ndani Tena maana naweza kufa kwa kucheka..... Watu wana mambo kweli....Umechekea nini
Kwa hiyo hoja hapa ni mimi "muuza ubuyu" au "binadamu" kuizidi tekinolojia?Hebu niambie umeizidi nini teknolojia?
Au unajivunia uwezo wa jirani yako ukadhani na wewe unao?
Mkuu umewaza km Mimi nilivyowaza ,Haya vijana acheni sijui kutafuta credit sijui ukasome HKL mara sijui ualimu, dunia inazidi kutanuka.
Nendeni Veta na vyuo vya Computer Science mkachukue maujuzi ya "IT" maana ndio kozi pekee iliyobaki inayoweza kukusukuma kwa siku za mbeleni ila uwe mjanja mjanja na wa kujiongeza.
Shukrani mkuu.
haiwezi kuwa kamwe... haiwezi kuwa kamwe... labda kama itajitengeneza yenyewe na sio binadamu kuhusika na kuitengeneza katika muelekeo anao taka yeye....One day, technology will surpass human intelligence.
- Albert Eisten
Ahsante mkuu nashukuru sana.Kuna hii bookshop mlimani City inautwa MAK ndio nanunua vitabu vingi kwa hapa Bongo. Lakini mara nyingi hua nanunua nikiwa nje ama kuorder moja kwa moja.
Nataka uniambie comment ipi imekuchekesha nami nichekeSisomi comment za humu ndani Tena maana naweza kufa kwa kucheka..... Watu wana mambo kweli....
Bora mie ambae huwa sisomi kabisa vitabu, Mara ya mwisho nimesoma 2015
Zaidi ya hapo nasoma biblia na lesoni tu
Na papuchi tutakua tunakula wirelessly kwa hiyo wadada mjiandae!!!
Viongozi wote wa kiafrica ni wazee wenye fikra za miaka 1600 iliyopita halafu unataka mfike?Africa tutafika?
Hii hata mimi kila nikijaribu "kulisukumizia" kwenye ubongo wangu linakataa kabisa,sasa kama nyumba inakuwa printed inamaana hilo printer lenyewe lina ukubwa kiasi gani?......lakini pia kuna lile la kumfyatua binadamu kama tofali maabara,hili nalo japo ni tecknolojia ila nahisi kama "kamba" hivi ila sijui tuendelee kusubiri lakini sidhani.Uongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"
-Tera La Vista
[emoji41] [emoji91] [emoji120]HAHAHAHAHA
HhhaaaNa papuchi tutakua tunakula wirelessly kwa hiyo wadada mjiandae!!!