baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ni sawa as long as viatu ni visafi unaswali navyo,sasa nyinyi mnavua ili msichafue zulia!!!
Mkuu kwenye uisilamu kukataza mabaya na kuusiana mema ni part ya Dini yetu, tumeitwa Ummah bora kwa kuusiana mema, Muisilamu anapokosea ni haki yetu kumrudisha kwenye Mstari.elewa hoja ndugu,sasa Mo kupost mti wa krismass inaongeza au kupunguza nini kwenye uislam??
hoja hapa ni kwamba mambo mazuri yanafanywa kuisaidia dini yenu hiyo hiyo na watu wasio waislam ambao mnapenda kuwasakama.
Atakapoachwa bila kukemewa ina maana taratibu utamaduni wa Xmass utaanza kujipenyeza kwenye Uisilamu kama ulivyo jipenyeza kwenye ukristo. Hivyo sisi tupo strict kwenye tamaduni zetu.