ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Unashangaa kipi wakati Musa alipasua bahari akapita katikati kwa miguu akitembea na ndugu zake,sasa inakuwaje unashangaa mabikira 70?hayo kwa Mungu madogo[emoji3][emoji3]hizi dini za ajabu sana yani mtu unadanganywa kitoto kabisa [emoji3]eti mabikra 70 na utajiri,qmmk niache kula sembe langu na maharage kisa?
Salah ni kiherehere, hii sikukuu ata wasabato ambao ni wakristo wameikataa, maana ni uzushi mtupumerry chrismas
Ndivyo walivyokwambia ?Umasikini ndo unamfanya mtu ajilipue ili awahi utajiri na mabikra walioko mbinguni
Wasabato wakristo hawaitaki, yeye MO salah kiherehere cha nini?
YasyNdivyo walivyokwambia ?
Sawa mamaSalah ni kiherehere, hii sikukuu ata wasabato ambao ni wakristo wameikataa, maana ni uzushi mtupu
Kuna mwanangu mmoja alifanya kihoja nilimshusha sana aiseeHabiba sio Mtume rehma na amani ziwe juu yake wala swahaba wala tabii wala sii sheikh miongoni mwa mashehe wa kutumainiwa, lakini lipo wazi uislam hauna ushirikiano na dini yoyote ya kikafiri, anayesemaga maneno hayo ni either hajui au mnafiq, wenye suratul fatiha anaomba dua asiangamie wala kupotea kama wakristo na manaswara, kwenye suratul kafirun anawakataa iweje aje hapo aongee mashirikiano kwenye sikukuu za kumkufuru Allah?
Kuna mwanangu mmoja alifanya kihoja nilimshusha sana aisee
Huyu jamaa nimecheza nae utotoni Ni Kama family friends na familia Yao
Siku hizi Ni ustaadh sana sawala Tano anafuga ndevu ananyoa kipara ,anavaa makobazi ,na zile suruali fupi .
Muda mwingi Yuko na kanzu au msuli .
Ni msomi wa degree hapo UDSM
Nikaja sikia Kuna siku alikata kula msosi walioletewa hapo kwao Kama sehemu ya kusherehekea Christmas Tena kutoka kwa majirani zao wa Miaka miingi sana
Aisee
Jamaa akasema "sili msosi wa makafiri"
Nikishangaa sana
Udogoni tulikuwa tunaenda sana hio nyumba walioleta msosi na menyu tulikuwa tunapiga Kama kawa[emoji1]
Dini zinavunjwa mahusiano mema katika jamii
Basi hio dini ya kinafiki[emoji15]Yupo sahihi kabisa hana kosa lolote ndio uislamu unavyotaka hviyo
Basi hio dini ya kinafiki[emoji15]
Fanya kama kazaliwa tarehe hiyo kwanini unaumia???!acha hizo nimemuona ozili naye bonge la mti krismas nyumbani kwake, dj khaled na pogba anasherekea christmas na mkewe ndani wameweka mti christmas utateseka sana[emoji16][emoji16][emoji16].mbona mnajishtukia?
Alafu hatuna hata habari.
Atajuana na MUNGU WAKE.
kwani yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Mwaka huu christmas imezidi kusherekewa na hata wale waliokuwaga na chuki za kidin wameposti na miti ndani ya nyumba zao na wengine wameingia ukristo kupitia christmas nina ushahidi kabisaHuko dubai miti ya christmas ipo kila kona
Kwanini sasa walikuwa wakiposti mwaka jana na juz watu wanawatukana sana ila mwaka huu wapo kimya na wao wamenunua na miti kabisa na kusherekea sikukuu, nineshuhudia wengine wakibadili na din na kuwa wakristo kipind hichi cha christmas wanaomba watu wawasaidie kanisa wakabatizweWatu mnakuwaga wajinga, uislam unakanuni taratibu na miongozo yake, ni kuifuata tu usipoifuafa hasara ni yake wewe sio ya waislam sasa iweje ujinga afanye mo salah kuteseka wateseka waislam,?
Kwanini sasa walikuwa wakiposti mwaka jana na juz watu wanawatukana sana ila mwaka huu wapo kimya na wao wamenunua na miti kabisa na kusherekea sikukuu, nineshuhudia wengine wakibadili na din na kuwa wakristo kipind hichi cha christmas wanaomba watu wawasaidie kanisa wakabatizwe
Wasabato sio wakristoSalah ni kiherehere, hii sikukuu ata wasabato ambao ni wakristo wameikataa, maana ni uzushi mtupu
Wasabato sio wakristo tambua hiloWasabato wakristo hawaitaki, yeye MO salah kiherehere cha nini?
Fanya kama kazaliwa tarehe hiyo kwanini unaumia???!acha hizo nimemuona ozili naye bonge la mti krismas nyumbani kwake, dj khaled na pogba anasherekea christmas na mkewe ndani wameweka mti christmas utateseka sana