Nasema hivi, dini si rai na kwakuwa umekuwa wewe ni mtu wa fikra basi endelea kufanya nao ibada makufari hata riba
Nikijadili na mtu alafu akafikia hatua hii basi hapo nafahamu fika kuwa mtu huyo amekariri dini na wala hajaielewa.
Wewe ndugu umekariri dini na husomi kwa kuelewa,na kukariri dini ni kubaya sana kwa sababu utakuwa na hadeeth nyingi lakini huzielewi.
Nimekupa hujja unatakiwa uzibu akhy al kariym na sio unalalamika tu.
wewe ni mtu wa fikra basi endelea kufanya nao ibada makufari hata riba
Unatakiwa uzijibu,fikra mbovu hujibiwa kwa fikra sahihi,sasa wewe unalalamika tu hapa alafu unaondoka bila hata kusahihisha hizo fikra,maana yake hoja ya kutetea unachokiamini haipo,umebakia na misimamo ambayo kimsingi haina tija yoyote katika dini.
Hadi umeenda kuchukua hadithi ya mambo ya nia ili uhalalishe lengo lako?
Wewe mbona umechukua hadithi ile ya "mwenye kujifananisha na watu ni katika wao" hii hadithi umeichukua umeipachika na munasaba wa sikukuu mbona mimi sikulalamika na hali najua hadithi hiyo imekuja kwa ijmaal wala haikutaja sikukuu ?
Kwa nini wewe iwe halali kutumia hadithi ile alafu mimi iwe shida kutumia hadithi ya nia na wewe kushangaa ?
Tatzo moja tu unatumia fikra zako badala ya dalili,
Nimekupa dalili hadithi ya nia unashangaa aunasema pph nimetumia mpaka hadithi ilee,sijui ulitaka nitumie hadithi gani.
Basi ndugu hadithi ya nia inafiti katika munaasaba wa mambo mengi AMA ULIFUNDISHWA KUWA ILE HADITHI INA SEHEMU MAALUMU ZA KUTUMIA PASI NA VILE NILIVYOTUMIA MIMI ?
mimi nazungumzi hili wewe unazungumzia lile.
Unazungumza nini ndugu mbona mimi najibu hoja zako nukta kwa nukta wewe unatakiwa ujibu pia uoneshe sehemu ambazo nimetoka nje ya maudhui na sio kusema hivyo tu,kwa sababu sio kila unalolisema ni sahihi ili liwe sahihi lazima ije hoja.
Hivyo naona mimi nikuche ili uendelee vizuri na hao makufari
Mimi nilikuambia toka mwanzo kuwa mambo ya kujibu kejeli huwa sina ndugu mimi nataka hoja na sio maneno kaka.
Wewe nenda kaka lakini tusichukiane tu.
nenda tu maana wewe nia yako sio kusalia bikira maria ila nia yako ni ujirani mwema. Kwakweli
🤣🤣🤣🤣🤣.
Maneno yangu yako wazi sana juu ya kadhia hii lakini kwa kuwa wewe ni waleee wanaokariri dini na kauli za wanazuoni bila kutumia na wao akili zao vizuri kuchambua basi sawa utaendelea kubeba misimamo mpaka utakapoamua kubadilika kaka.