Unapata wapi nguvu ya kuniuliza wakati hapo ulipo huna akili kwa mujibu wa messiah wenu?mi nimeulizia kurogwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata wapi nguvu ya kuniuliza wakati hapo ulipo huna akili kwa mujibu wa messiah wenu?mi nimeulizia kurogwa
A:mimi sio mgalatiaUnapata wapi nguvu ya kuniuliza wakati hapo ulipo huna akili kwa mujibu wa messiah wenu?
Leo mnakana eeh, mgalatia ni nani sasa?A:mimi sio mgalatia
B:aliyesema hivyo sio messia
C:Usikimbie mjadala kitoto au Muhamad ni mgalatia ndomana walimroga?
Hakuna tarehe iliyokuwa imekubaliwa na wote.
Muhimu hakuna mwenye uhakika wa tarehe aliyozaliwa kwa sababu tayari kuna mgongano wa watu juu ya tarehe.
Okay ngoja nikujibu kistaarabu huenda unataka kweli kujua..Leo mnakana eeh, mgalatia ni nani sasa?
Aliyesema ni nani?
Muhamad ulimroga wewe?
Kukosa akili ni tatizo ndugu
Mkuu jibu la kufungia mwaka hili ngoja niendelee kula vyombo kafiri mie[emoji3] [emoji482][emoji898]Okay ngoja nikujibu kistaarabu huenda unataka kweli kujua..
Wagalatia ni watu walioishi Sehemu iliyoitwa Galatia enzi hizo za mitume ambayo kwa leo ni maeneo ya Uturuki.
Aliyesema hayo ni mtume paul na aliwaandikia barua hiyo kwakuwa baada ya kuuhwahubiri alipoondoka wakarudi kwenye Upagani.yaani injili feki(kama kusema unamtambua Yesu lakini alikuwa mtume tu)
Kwahyo hayo maneno yaliwahusu hao watu wa kipindi hicho lakini mpaka leo Basi yanaapply kwao maana waturuki bado wapagani.
Okay Swali lako Lingine Muhammad sijamroga mimi maana sikuuwepo ila Mafundi waliokuwepo enzi hizo walipita nae jumla jumla
Kumbe na wewe itikadi kali 😀😀.NYIE ndo wale mnaovaa kanzu fupi na kujiita WAISLAM wenye ITIKADI Kali.
Hadi tarehe ya kuzaliwa mtume unaitilia Shaka?.
Vipi mafundisho yake UTAYAAMINI?.
Na hata Kama mtume akuzaliwa hyo tarehe
Sio sababu ya kuhalalisha muislam KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA MUNGU WA WAKRISTO.
NI SHIRKI.
Sina ithbaat ya kitabu chochote,wala sijafikiwa na kitabu chochote ambacho kimemtaja Allah zaidi ya Qurani.Inshallah...Hivi kabla ya muhammad Allah alikuwa anatumia jina gani?
Almuhimu hakuna tarehe maalum ya kuzaliwa mtume iliyokuwa na uhakika hasa.NYIE ndo wale mnaovaa kanzu fupi na kujiita WAISLAM wenye ITIKADI Kali.
Hadi tarehe ya kuzaliwa mtume unaitilia Shaka?.
Vipi mafundisho yake UTAYAAMINI?.
Na hata Kama mtume akuzaliwa hyo tarehe
Sio sababu ya kuhalalisha muislam KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA MUNGU WA WAKRISTO.
NI SHIRKI.
Moja kati ya waislam wachache wastaarabu humu jamvini..I tip my hat to you sir..Angekua mwingine tungeanza Chenga za Ronaldo na matusi kwa juu.Sina ithbaat ya kitabu chochote,wala sijafikiwa na kitabu chochote ambacho kimemtaja Allah zaidi ya Qurani.
Kwa hiyo sijajua kabla ya Qurani alikuwa anatumia jina gani mkuu kwa sababu sina kitabu wala sikijui kitabu cha kabla ya Qurani bila kupitia hiyo Qurani yenyewe,na Qurani imemtaja Allah tu.
Eti mafundi, mafundi ni wale waliomtundika msela pale juu akaanza kumlilia baba yake huku kavaa kichupi na wasio na akili wanaamini yule komando kichupi ndio baba mwenyeweOkay ngoja nikujibu kistaarabu huenda unataka kweli kujua..
Wagalatia ni watu walioishi Sehemu iliyoitwa Galatia enzi hizo za mitume ambayo kwa leo ni maeneo ya Uturuki.
Aliyesema hayo ni mtume paul na aliwaandikia barua hiyo kwakuwa baada ya kuuhwahubiri alipoondoka wakarudi kwenye Upagani.yaani injili feki(kama kusema unamtambua Yesu lakini alikuwa mtume tu)
Kwahyo hayo maneno yaliwahusu hao watu wa kipindi hicho lakini mpaka leo Basi yanaapply kwao maana waturuki bado wapagani.
Okay Swali lako Lingine Muhammad sijamroga mimi maana sikuuwepo ila Mafundi waliokuwepo enzi hizo walipita nae jumla jumla
Mkuu kukiri ustaarabu ni hekima kubwa zaidi ya huo ustaarabu wenyewe.Moja kati ya waislam wachache wastaarabu humu jamvini..I tip my hat to you sir..Angekua mwingine tungeanza Chenga za Ronaldo na matusi kwa juu.
I Respect your honesty.
Mkuu kutumia Smartphone yenye OS iliyotengenezwa makafir ni sawa na kuunga mkono ukafir?Bila Shaka wako sahihi.
Maana kwa Imani ya wakristo yesu Ni MUNGU au mwana wa MUNGU.
Sasa muislam unaposheherekea hyo sikukuu inamaanisha unakubaliana na ITIKADI yao.
Soma Aya ya 3.Mkuu kutumia Smartphone yenye OS iliyotengenezwa makafir ni sawa na kuunga mkono ukafir?
Makafiri wanafurahisha.
Who is Mo Salah in islam?
Salah ni kiherehere, hii sikukuu ata wasabato ambao ni wakristo wameikataa, maana ni uzushi mtupu
NYIE ndo wale mnaovaa kanzu fupi na kujiita WAISLAM wenye ITIKADI Kali.
Hadi tarehe ya kuzaliwa mtume unaitilia Shaka?.
Vipi mafundisho yake UTAYAAMINI?.
Na hata Kama mtume akuzaliwa hyo tarehe
Sio sababu ya kuhalalisha muislam KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA MUNGU WA WAKRISTO.
NI SHIRKI.
Sina ithbaat ya kitabu chochote,wala sijafikiwa na kitabu chochote ambacho kimemtaja Allah zaidi ya Qurani.
Kwa hiyo sijajua kabla ya Qurani alikuwa anatumia jina gani mkuu kwa sababu sina kitabu wala sikijui kitabu cha kabla ya Qurani bila kupitia hiyo Qurani yenyewe,na Qurani imemtaja Allah tu.
Kuvaa kanzu fupi ni sunnah sheikh
Mkuu kukiri ustaarabu ni hekima kubwa zaidi ya huo ustaarabu wenyewe.Moja kati ya waislam wachache wastaarabu humu jamvini..I tip my hat to you sir..Angekua mwingine tungeanza Chenga za Ronaldo na matusi kwa juu.
I Respect your honesty.
Ni kweli mkuu yalikuweko.Kulikuwa na maisha kabla ya Muhamad na Quran,fuatilia.