DOKEZO Meru, Arusha: Kuna Mwalimu ni mvuta bangi na anauzia wanafunzi Bangi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
We ndio unashangaa leo? Mbona walimu wauza bangi wapo kitambo sana? Bangi huvutwa na wanafunzi kuanzia wa msingi hadi sekondari, wa chuo hao ndio wabobezi. Cha ajabu bangi inavutwa mpaka na wasichana
 
Rostam kauziwa mgodi wa Makaa ya mawe bil 5 huko, mnadili na vidagaa.
 
Acha hizo. Wewe unaweza kwemda kumripoti? Hiyo haihitaji great thinker mana hao uliowaambia watamwambia aje kukudhuru. Huku huku ndio penyewe, vyombo vya usalama vikamchunguze
 
Let him sell the kush thing
 
Imekuwaje machalii wa kimeru wanaenda kununua Kwa ticha ilhali waanalima makwao?
 
Hiyo wilaya iko exempted na sheria zinazokataza jani. Almost kila mtu amewahi kuonja au anatumia jani. Na hilo jani halina madhara kwa hao watu. Waache watumie kwa kiasi. Jamaa yangu mmoja anaitwa Freedom kule Kenya, mbona yuko poa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…