Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mwl kaamua ajiongeze huyu haumkuti kwenye uzi wa mshahara 😁
Mishahara yake lazma inakutana, kuna siku niliiwaza hii fursa nikasema aah au basi
Mwl kaamua ajiongeze huyu haumkuti kwenye uzi wa mshahara 😁
Huu mwandiko sio mgeni VAR check. 😂😂 Umechanganya font brazaMbona hujawahi kuanzisha mada kuhusu Ufisadi na wizi wa Pesa za umma?
Kazi Umbea tu🤣🤣🤣🤣
Wanatuandama sana, hebu watulie tupite na fursa🤣🤣Mwl kaamua ajiongeze huyu haumkuti kwenye uzi wa mshahara 😁
Mishahara yake lazma inakutana, kuna siku niliiwaza hii fursa nikasema aah au basi
😂😂😂😂Wanatuandama sana, hebu watulie tupite na fursa🤣🤣
VAR check namzoom mmbeaaHuu mwandiko sio mgeni VAR check. 😂😂 Umechanganya font braza
Teacher atafute strain nzuri ambao ni user friendly kwa wanafunzi yenye low HTC, mental clarity na low psycoactive hasa jamii ya Sativa,Kama Blue Dream na Green Crack.
Acha hizo. Wewe unaweza kwemda kumripoti? Hiyo haihitaji great thinker mana hao uliowaambia watamwambia aje kukudhuru. Huku huku ndio penyewe, vyombo vya usalama vikamchunguzeSasa iyo nayo ni kitu yakuja kuanzisha uzi humu
Ww ni kenge kabsa unashindwa kipeleka kesi yako kwa uongozi wa mtaa, shule , kata ama ata kituo cha polisi unakuja kutueleza ujinga wako humu
Akuna great thinker fala km ww ujui ni wap pakupeleka malalamiko yako afu unajiita great thinker
Let him sell the kush thingHabari za kwenu?
Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara haramu ya kuuza bangi kwenye baa yake.
Wanafunzi wa sekondari nao huenda katika baa hiyo kununua bangi.
Tabia zake hizo zimekuwa zinaathiri wakazi na watoto wa kijiji hiki kwa kuuza bangi kwenye baa yake kwa wanafunzi na vijana wetu.
Pili vijana wengi wa kijiji hiki wameathirika na bangi anazouza huyu mwalimu. Sisi tukiwa ni wakazi wa kijiji hiki tumechoka na tabia zake zisizo na maadili na kuondoa maadili ya jamii yetu ya watu wa Meru.Tunaomba sheria ichukue mkondo wake na ahamishwe kijini kwetu.
Tunaomba mamlaka za kupambana na dawa za kulevya na idara ya elimu wafanye uchunguzi kubaini suala hili.
Wazazi tumechoka na tabia yake ya uuzaji wa bangi.
Meru bila bangi inawezekana.
Mwalimu ni maadili na haiba.
Hiyo wilaya iko exempted na sheria zinazokataza jani. Almost kila mtu amewahi kuonja au anatumia jani. Na hilo jani halina madhara kwa hao watu. Waache watumie kwa kiasi. Jamaa yangu mmoja anaitwa Freedom kule Kenya, mbona yuko poa tu?Habari za kwenu?