kuberwa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 575
- 137
Kuberwa sijui nitakua nimeelewa.. kabla sijaenda mbali hio message ulituma wee ama ulitumiwa?? (Sio kwamba nataka kua mtabiri jamani...lol)
nilitumiwa Asha kwani vip, lol!
Kuberwa sijui nitakua nimeelewa.. kabla sijaenda mbali hio message ulituma wee ama ulitumiwa?? (Sio kwamba nataka kua mtabiri jamani...lol)
Did you accept the apology??
The Moon asked me, if your best does not send sms/call/visit U, Why don't u leave ur best? I said, does ur sky ever leave u when u don't shine?
G9t Best.
@23/10/2011, 22:06:35
last sms from a friend of mine.
'naomba naomba naomba unijibu,nimekosa,sina raha nisamehe dear please,bila ya wewe sitakuwa na furaha una umuhimu kwangu, nitabadilika please,naomba nafasi ingine bado nakupenda naahidi sitakukwaza tena,please jibu coz cm hupokei' sms hii from nyumba ndogo saa 3 usiku.
Lukansola... Dah! THANK YOU for making me laugh kiasi hiki......lol.... Nimeipenda mno!
Asante AshaDii, but check out, nadhani more than 85% ya waliochangia thread hii until now message zao za mwisho zimetoka kwa wapenzi wao. What a coincidence?
Umeona eeeh?? Najiuliza does it mean there is so much love.... OR napigwa changa la macho?? lol
klorokwini co-worker ni my bestfriend hapa jey efu tatizo lilikuja si unajua tena ugomvi wa totoz-Husninyo. kama unasikiliza Taarab utakuwa umesikia 'ulisema wa nini mwingine akawaza atampata lini'.hahahahah..... Hapa sijui nimwamini nani.... Maana Klorokwin katoa taarifa humu ndani eti huna simu ya mkononi.... ni kweli?? lol
Mwita iko siku nitakuchapa ujue?? lol... na hio avatar as if kweli hujui jibu.... Haya basi CM = Simu.... (Umefurahi??)
klorokwini co-worker ni my bestfriend hapa jey efu tatizo lilikuja si unajua tena ugomvi wa totoz-Husninyo. kama unasikiliza Taarab utakuwa umesikia 'ulisema wa nini mwingine akawaza atampata lini'.
hapo kidogo hujaelewa Kloro alikuwa 'sitaki nataka' kwa Resident beauty wetu wa hapa JF sasa mimi nikajaribu na kwakuwa Kloro alikuwa hasomeki nikafanikiwa kumpata na yuko na mimi,sasa hili swala linamuuma sana swahiba wangu ndio kisa cha kunichafulia CV yangu ambayo ni Impecable lol!Hahaha... Nimekupata kabisa Co-Worker... maana hayo maneno hasa alikua anamuambia Mrembo Husny....lol... Yaaani nyie mpaka leo bado hamjaamua ni nani ampate na kubaki nae?? Mbona mwamtesa mtoto wa watu... Haya basi bado hujampata Husny na nyumba ndogo anabembeleza urudi... inakuaje sasa??
hapo kidogo hujaelewa Kloro alikuwa 'sitaki nataka' kwa Resident beauty wetu wa hapa JF sasa mimi nikajaribu na kwakuwa Kloro alikuwa hasomeki nikafanikiwa kumpata na yuko na mimi,sasa hili swala linamuuma sana swahiba wangu ndio kisa cha kunichafulia CV yangu ambayo ni Impecable lol!
asha unafahamu mwanamke mzuri lazima atatongozwa sana lakini mimi sina wasiwasi Husninyo anapangua mitego kama Fabregas hahaha!Hivi co-worker sijui hii itakua umbea ama lah! lol Mie naona Kloro hana nguvu kabisa kwa mtoto Husny.... Tatizo lipo kwa mharibifu fulani... ina maana hilo hujaliona ama competition imekua kubwa kwako? lol