Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

(Am being honest to the real ..time... my last text received is) Hi AJ, I hav a situation here, kila siku usiku 2am naamka. Akili inaadika thesis! Mimi nasikiliza ..Idea zinamake perfect sense ... ila nimeanza ku-feel guilty.. Hii PhD inahitaji UFAHAMU NA AKILI ... sasa mimi sijui kuvi-balance! jamani somo gumu hili!!! tell me how would you hav differentiated the two?
 
Kuna kasichana kamoja..kalinitumia sms, "Chatu...niongezee milioni nimalizie deni nichukue Nissan yangu"

Heeee! Chatu kumbe you are loaded eeeh?? Na mimi naomba nikopeshe walau Laki 5....lol
 
Nakuwa busy na kazi sasa mtu anataka upige cm tuu! Wakati ukichanganya tu umearibu kazi za watu.... Alafu sijazoe kupiga piga cm

Lutamyo... hapa tatizo nadhani ni wewe sio yeye... Jaribu kua wazi na umueleweshe walau tu once in a while unamkumbuka.... Sio ndo kimyaaa mpaka basi hata kama upo busy..
 
Heeee! Chatu kumbe you are loaded eeeh?? Na mimi naomba nikopeshe walau Laki 5....lol

AshaDii,
Unadhani tuna kitu hela ya kula tu jamani...

Hako kadada kalikuwa kanajiribu kupiga mzinga lakini kakakwama...lol..
 
Chatu kitu kimoja wapo ambacho nawasifu wapiga mizinga ni uwezo wao wakubashiri hasa yupi wakupigwa ama lah... Yaani unanibania Laki 5 na mwenzio nina shida.... Chatuu... Urafiki gani huo wa mashaka jamani... hebu basi namimi nisaidie hizo laki tano bana! lol
 
(Am being honest to the real ..time... my last text received is) Hi AJ, I hav a situation here, kila siku usiku 2am naamka. Akili inaadika thesis! Mimi nasikiliza ..Idea zinamake perfect sense ... ila nimeanza ku-feel guilty.. Hii PhD inahitaji UFAHAMU NA AKILI ... sasa mimi sijui kuvi-balance! jamani somo gumu hili!!! tell me how would you hav differentiated the two?

mmmh! Kitu gani nimepata hapa??
  • Ni msomi wa level ya juu kabisa...
  • Mwenzio amesoma the exact same thing umewahi soma
  • Mwenzio is doing mambo mawili kwa mpigo nawe usha wahi do the same...
  • You are a good reliable friend... Labda ni good listener ama una ushauri mzuri..
 
Chatu kitu kimoja wapo ambacho nawasifu wapiga mizinga ni uwezo wao wakubashiri hasa yupi wakupigwa ama lah... Yaani unanibania Laki 5 na mwenzio nina shida.... Chatuu... Urafiki gani huo wa mashaka jamani... hebu basi namimi nisaidie hizo laki tano bana! lol

Ha!ha!ha..AshaDii unavyolalamika huku unapiga mzinga sijui ingekuaje tungekuwa tunaona face to face...lol.. Ingebidi nikakukopee tu nikupe jamani
 
Kwa hiyo unanipa eeeh?? Nikupe bank account?? lol
 
Usijali.... Kuna western Union. Money Gram (which is much cheeper)....lol... Ehee.... Kwa hiyo??
Huku nilipo kutuma pesa bongo FBI wanasumbua kweli...ahadi yangu ipo pale pale next week nakuja bongo takutoa...lol..
 
hahahaha... Ukikwama nina mkubwa CIA pale aweza fanya mambo ya kuwazima hoa FBI.....lol
 
mine is "mamaa hujambo ninefurah kukuona? Mi nilikuwa na tatizo la tumbo lakn kwa sasa nina nafuu. Nitakujulisha lini nitakuona, uniombee kwa mema usikate tamaa" unakuwa mtabir nini Ashadii
 
Basi ni-PM jina la mtu wako wa CIA nichek nae mimi nipo border ya Afghanistan na Pakistan...lol..

Nikutumie huo mzigo kesho huku saizi saa 9 usiku...
 
Kuberwa sijui nitakua nimeelewa.. kabla sijaenda mbali hio message ulituma wee ama ulitumiwa?? (Sio kwamba nataka kua mtabiri jamani...lol)
 
Basi ni-PM jina la mtu wako wa CIA nichek nae mimi nipo border ya Afghanistan na Pakistan...lol..

Nikutumie huo mzigo kesho huku saizi saa 9 usiku...

Usijali... Kwa kutumia technology ya kisasa... tayari satellite imeonesha upo wapi na full contacts zipo... ndani ya dakika 30 utapigiwa simu na my contact....lol
 
Habari wana JF….. Weekend inasemaje Dears???

Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??

SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Message: Ndugu mteja asante kwa kulipa deni lako lote la TIGO NiWEZESHE. Salio lako limepunguzwa sh 1420.00. Tigo NIWEZESHE!
Time: just now
 
Back
Top Bottom