Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

Cta duu ndan ya duka la dhahabu,mara kaiona pete nzuri kainama kuiangalia bht mbaya akajamba,akageuka nxuma kuona kama kuna m2 kamckia,macho kwa macho na muuzaji!Dada akazuga 'eti kaka hii pete bei gan?'muuzaj akamwambia 'umeiona 2 umejamba nikikutajia bei c ndo utakunya!'.Acha kucheka best friend,ucku mwema
Jana 22.45
 
Believe me you najaribu kupiga picha na imegoma kabisa hata kutoa negaitve!! Wacha niazime digital yenye ma megapixel ya kufa mtu! lol
 
jamani kuna mahali naenda mara moja nawapenda sana nitarudi baadae
 
Hii ndio meseji yangu ya mwisho...

Till 25/10 New World Mwenge *AAZAAN- 7:30pm,10pm *RASCALS - 7pm,8:30pm,10pm - Till 27/10 Mlimani City *DOLPHINE TALE 3D - 2:30pm,5pm,7:30pm,10pm *RIO 3D - 2pm, 4pm,6pm *WHATS YOUR NUMBER -7:45pm,10pm *JOHNNY ENGLISH - 3pm,5:30pm,7:45pm,10pm
 
Hivi huku New World bado watu huwa wanaenda? Mbona movie zote hizo tayari zimeshaonyeshwa Century Cinemax mcity?
 
Vin nilikumiss kakangu... siku mbili hizi hatujaonana.... Naona uliomba ratiba ya movies... Vipi umeenda angalia??
 
Unajua wengine huenda mkumbo... or kufuata company... or labda kusubiri walau bei ishuke kidogo... or saingine mtu ali-MISS sababu ya ubusy....
 
Mkuu mwenge watakuwa wanaenda wahindi tu...angalia pale kuna ratiba ya mlimani city kuna movies mpya...
 
Gal you need some jerk up.... Don't hesitate.... Mwita ni gari la Manual... You have to be an expert kuhakikisha hujakorongoa gear box! lol

Each time I try to open up new ID mods would quickly merge it with my traditional ID Mwita25.
 
Tutaku Miss Kid sis.... Will Miss you so.... Weekend njema dear....
Alter Ego, na mimi naenda kupokea kakiasi, si unajua leo ni weekend wasije wakafunga... Kiss kiss and have a lovely weekend!
 
Vin nilikumiss kakangu... siku mbili hizi hatujaonana.... Naona uliomba ratiba ya movies... Vipi umeenda angalia??

Nimeomba ratiba na nataka kwenda kuangalia John English pale m city...ndio imeingia theatres...
Nimekumiss pia sisy...
Nilipotea kwani SL hakuwepo pia...kama umegundua..
 
Unajua wengine huenda mkumbo... or kufuata company... or labda kusubiri walau bei ishuke kidogo... or saingine mtu ali-MISS sababu ya ubusy....
Ehe..na kwenye movie upo? Interests na hobbies zako nini haswa? AshaDii..I need to know u more plzzz
 
Cta duu ndan ya duka la dhahabu,mara kaiona pete nzuri kainama kuiangalia bht mbaya akajamba,akageuka nxuma kuona kama kuna m2 kamckia,macho kwa macho na muuzaji!Dada akazuga 'eti kaka hii pete bei gan?'muuzaj akamwambia 'umeiona 2 umejamba nikikutajia bei c ndo utakunya!'.Acha kucheka best friend,ucku mwema
Jana 22.45

hahahahahaa.......daaahh!!! Nimecheka hadi usingizi ulokuwa unaninyemelea umepotea aisee! Lol!
 
nimeomba ratiba na nataka kwenda kuangalia john english pale m city...ndio imeingia theatres...
Nimekumiss pia sisy...
Nilipotea kwani sl hakuwepo pia...kama umegundua..
niko njiani nakuja sasa hv hata hapa kwa sis nimeshaaga tulia
 
Back
Top Bottom