Huyawahi kushuhudia yapi?Vipi naona unaandika huku umekata tamaa.Ulitegemea nini?Keyboard warrior?Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu
Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.
Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.
Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyawahi kushuhudia yapi?Vipi naona unaandika huku umekata tamaa.Ulitegemea nini?Keyboard warrior?
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu
Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.
Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.
Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
Na hili nimewaambia wengi humu wanaobeza kukejeli na dharau, kwa hii hali ingawa ni kama wanajaribu kuandamana ni wake-up call kwa watawala watafakari na kuwasikiliza wananchi nn wanataka!! Hii tabia ya dharau na kuwabeza wananchi ipo cku wataamka jumla, maan woga na hofu vinaanza kutoweka taratibu kwa wananchi!!Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu