Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule.

Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.

Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''

Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.
 
Alarm hiyo, tutaona mengi maana Messi ni Icon wa soka. Huwezi kuzungumzia wachezaji bora duniani usimzungumzie Messi, Discussion lazima zitaibuka na hapa ndio tutaona wanafiki na jinsi perception kote duniani zitakapobadilishwa kuhusiana na mgogoro huu wa Jerusalem
 
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule. Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Acha bhana... kumbe ni taifa teule!

Hivi hashindwi kwa sababu ni taifa teule au ni kutokana na misaada mikubwa ya kijeshi anayopewa na US?!

Kwa mfano, during Obama Administration; US waliingia mkataba wa msaada wa $38 Billion kwa kipindi cha miaka 10!

$38 Billion ni zaidi ya TZS 80 Trillion ambayo ni more than TZS Trillion 8 kwa mwaka!

Leo hii Tanzania tupate msaada wa trillion 8 kwa mwaka kwa ajili ya masuala ya kijeshi tu; hivi unadhani kuna taifa Afrika litaweza kutuchezea?

Na sio Africa tu bali nchi kadhaa duniani!

Leo hii wazibie hiyo mirija Israel halafu hizo Trillion 8 wape Hamas tu let alone Iran halafu njoo hapa miaka 5 ijayo utuambie "Taifa Teule" halishindwi!!
 
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule. Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.
Mkuu hii mechi imehairishwa sabbu messi kagoma au sababu Palestinian walitoa vitisho ikiwemo kuchoma pcha zake km game ltapgwa ?
Btw who is messi in this game? Israel wanataka waonekane wanaparticipate in international football kwa hizi international friendly,messi awepo asiwepo wao wanahitaji team nzima wapate international recognition
 
Back
Top Bottom