Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule.
Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.