Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndio wale wanaoongozwa na jiwe?Messi ni malaika
NadhanNdio wale wanaoongozwa na jiwe?
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule. Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
????????Umetafakari kwanza alichokifanya na kuongea Messi ?
Sawa mfia myahudiSuala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
❓❓❓❓❓❓❓❓❓❓❓❓❓Sawa mfia myahudi
Acha bhana... kumbe ni taifa teule!Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Mkuu hii mechi imehairishwa sabbu messi kagoma au sababu Palestinian walitoa vitisho ikiwemo kuchoma pcha zake km game ltapgwa ?Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule. Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.