Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Samahani mkuu unafikiri nani anasababisha Israel wanapendelewa hivyo? Unataka kuniambia America wanapata nini kutoka Israel kwa huo upendeleo?
 
Reactions: Pep
Huyo hatafakari kwa kina analeta habari za story za kitabuni, kweli tuna matatizo ya akili. Hivi huyu muisrael amtake mke wake atampa kisa katoka taifa teule??
Sisi baadhi ya watanzania tuna matatizo makubwa sana ya kufikiri.
 
Kwanini Messi akatae halafu aseme atarudisha gharama za mechi? au Messi akikataa ndiyo Argentina imekataa? By the way huo mji wa Jerusalem kwa sasa si unatumiwa na wote wayahudi na wapalestina? Ina maana Messi anawaondolea hao waisrael haki ya kutumia sehemu ya mji wanayoimiliki?
Let us see, maana hao jamaa hawakawii kuanza kumshughulikia ili kumshusha na kumuondolea udhamini kupitia makampuni yao yanayomdhamini Messi. Nadhani hakujua ukubwa wa vita anayoiingia na kama angeijua sidhani kama angethubutu.
 
Mungu akamwambia farao, Israeli ni mwanangu mimi, ni mzaliwa wa kwanza wangu mwache akanitumikie. Hayo mengine siyajui..
 
mkuu watu wengi hawajui hili, kati ya taifa teule kupokea hela ya Marekani ili kufanikisha agenda Marekani pale mashariki ya kati. Wengine wanaamini Waisrael hawaendi hata haja!
 
Mkuu hebu rudia tena!! Who is nani!!??

Mie sitaki kujihusisha katika siasa za huko nikawa myahudi wa bongo, ila hapo kwenye who is messi nenda kamuulize ibrahimovic ama kamtafute icardi halafu ndio umuulize who is messi.
 
Ngoja tuone!!
 
Bila Messi Argentina ina uwezo gani kucheza Israel?.. Messi ni kama mungu mtu Argentina anaweza amua nani apangwe kikosini nani aachwe!.
Messi alitoa altimatum Icardi aitwe yeye asicheze WC akasikilizwa, Messi alitangaza kustaafu wakampigia magotti abadili maamuzi!. Hiyo ndio nguvu ya Lionel Messi 'La Purga' Argentina.
Lakini nampongeza kuchagua Amani na kutoenda Jerusalem, hao jamaa wakiona imewauma wamfate CR7 kama atakubali kuja cheza Jerusalem.
Kwa Mo Salah ni mbombo ngafu napo😀
 
Samahani mkuu unafikiri nani anasababisha Israel wanapendelewa hivyo? Unataka kuniambia America wanapata nini kutoka Israel kwa huo upendeleo?
Faida ya USA kwa Israel ni kumantain jicho lake Middle East!. Unadhani bila Israel pale middle east kuna nani wa kuwawekea ubavu waarabu!.
Leo USA ajaribu kujitenga na Israel aobe waarabu wanavyomgawana, Saudi Arabia ni mchumba tu kwa middle east!.
 
amejimaliza kushindana na Israel
 
Ha ha ha haaaa msamehe tu ALIKURUPUKA kupost bila kufanya analysis ya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…