Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Kna point hamuelewi,hii friendly isral hawakuhitaji win or lose neither ao argentina,hii nia yake ilkua ni kuipromote isral ionekane ina mahusiano mazur international na mataifa mengne thru football world,walplan pazur everything dakika ya mwsho ni uamuz wa game kupingwa sehemu yny mzozo,messi angeenda au asingeenda km ingepgwa lets say tel aviv hakua na impact 7b hii mechi haikulenga sn abt soka,ina dfrnt agenda
 
Kwa hiyo wameamua kuandika hayo si kutoka moyoni mwao, bali kwa kuwa wametishiwa uhai na wapelestina.

Hata ujumbe wa Mesi ni matokeo ya kutishiwa tu. Maana ingekuwa natural, wasingepanga mechi na Israel
 
Messi na Timu yake wamefanya jambo jema.
Ila wasiwe double standard kwa swala la watoto wengi wa Mataifa ya Kiarabu ambao wameuwawa kwa sababu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Uhalifu ni uhalifu tu bila kujali umefanywa na baba au mama mzazi wa mtoto.
Wamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na Israel
 
Wapalestina hawana uwezo wa kuwadhuru timu ya taifa argentina,hapo messi na wenzake wamewaona wayahudi wauaji,wamedhulumu nchi ya watu na watu katili
"...Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasiliana na Rasi wa Argentine Mh Mauricio Macri. Netanyahu alimsihi Sana Macri kuwahimiza uongozi na wachezaji kutokufutilia mbali mchezo huo siku ya jumanne. Macri alimjibu waziri huyo kuwa yeye hawezi kuingilia maamuzi ya mwisho ya chama cha soka cha taifa hilo.

Raisi Macri aliwasiliana na uongozi wa chama cha soka kujua msimamo wao. Viongozi walimwambia kuwa kila mchezaji ana hofu na hakuna mchezaji ambaye yupo tayati kucheza pambano hilo. Macri alimpigia simu waziri wa Israel na kumuomba radhi kwamba hakuna mchezaji ambaye atakubali kucheza pambano hilo...".

Soma hapo mkuu. Walipanga pambano, na wakasafiri kwenda uyahudi, wakatishiwa na wapalestina, wakaogopa, wakafuta mchezo kulinda uhai wao.
 
safi vyovyote iwavyo safi,iwe vitisho au ni safi.hivi ulinzi tunaosifiwa kwamba wanao argentina wameogopa nini.nadhani ujumbe wa messi una ukweli kwa ndani.
Kwao na Israel ni wapi?
 
Kwa hio leo unasema kua izrail hawana uwezo wa kulinda nchi ya kwa pambano la daika 90?? Kwa sababu ya palestina?? [emoji23][emoji23]
Wanaweza kuwa na uwezo huo, lakini peace of mind do matter. Warabu walivyo watu wa visasi, wangeanza kuwatafta Argentina kokote waliko na kuwashambulia. Yaani kwa mechi ya leo, ingefungua uhasama mpya kati ya Argentina na Palestine.

Kwa hiyo wameangalia mbali.

Ona vitimbwi vya wapalestina.

"...Katibu mkuu wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub aliuomba uongozi wa chama soka cha argentine kufuta mchezo huo mara moja

Baadhi ya mashabiki wa Messi nchini Palestina walichoma jezi za nyota huyo mara baada ya kikosi hicho kuwasili Jerusalem kwa muda..."
 
Na kwa uelewa wako unahisi tunaongelea Argentina kushinda 3 - 0 au kupigwa 3 - 0 !?.. Hapa tunaongelea kitu tofauti suala la Messi kutoitambua Jerusalem kama Capital city ya Israel.
 
Wewe ni mkiristo una uhusiano gani na Yahudi?Yahudi alifukuza waarabu 1948 katika ardhi yao .Acha kufru kafir mkubwa wewe laanatul llah
Sasa matusi ya nini yahkee? Mimi kwa mfano ni mkristo. Simusapoti Israel kwa sababu ya ukristo wangu, la hasha. Israel wengi bado wanaheshimu uyahudi wao, dini kongwe kuliko Ukristo na Uislam.

Namsapoti Israel kwa sababu ya historia. Historia inatuambia Jerusalem ni jiji lililojengwa na waebrania=Israel=wayahudi. Umejengwa kwanza na Daud, lkn Suleiman akafanya kazi kubwa zaidi. Hata majina ya miji hiyo, yanasadifu uzayuni kuliko upalestina. Hiyo tu ni ishara tosha kuwa ni miji mikongwe ya wazayuni au waebrania.

Wote tunafahamu kupitia historia kuwa, Isaak na Ismail wote ni watoto wa Ibrahimu ambaye ni mrithi wa ahadi za Mungu. Tofauti iliyopo kati ya Ishumael=baba wa wapalestine na Isack=baba wa waebrania, ni kuwa mmoja alikuwa na mchanganyiko wa damu yaani Ebrania+Egypt wakati Isaak alikuwa pure Israel au myahudi.

Tofauti nyingine ni kuwa, Isack ni mtoto wa ahadi, wa kurithi mahali pa Ibrahimu, lakini Ishumael alifukuzwa na kuwa mkimbizi mbele ya ndugu yake Isack. Pengine hata kuoa alioa kwa warabu kuliko kwa waebrania.

History inatuambia pia, Israel walipokosa, walinyang'anywa nchi na vyote viijazavyo, wakachukua wengine, lkn historia hiyohiyo inasema ipo siku huyu aliyefukuzwa atarudi kwake, aendeleze maisha hapo.

Utata uliopo, umekimbia miaka mingi iliyopita, unarudi unakuta watu wamejimilikisha eneo lako. Je kudai eneo ambalo ni mali yako, ni kosa?

Wewe umejenga mji wako huko, baadae ukakimbilia mjini wengine wakauendeleza. Baadae maisha yamekupiga, unaamua kurudi kwenye mji wako, unakuta watu wameendeleza lkn unakumbuka hakika nyumba uliyoiacha ulivyo ijenga. Je kudai mali yako hiyo ni kosa?

Kama Palestine wanadai wao ndo walioubuni mji huo, iweje ukose majina ya kipalestina au kiarabu lakini uwe na majina ya kiyahudi?

The best solution ni kuwafanya watoto wa Ibrahimu kukaa pamoja kama familia, lakini kitendo cha Palestine kuwaona Israel hawastahili wakati wao ni mazao ya kuchepuka tu, wanajidanganya.

Vitisho vyao havitaiyumbisha Israel, na siku zote wameonesha hivyo. Tangu mwaka 1948, wameonesha wana uwezo kuliko Palestine. Cha msingi wakae wayamalize kama watoto wa baba mmoja siyo kujifanya wajuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…