Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
King leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kna point hamuelewi,hii friendly isral hawakuhitaji win or lose neither ao argentina,hii nia yake ilkua ni kuipromote isral ionekane ina mahusiano mazur international na mataifa mengne thru football world,walplan pazur everything dakika ya mwsho ni uamuz wa game kupingwa sehemu yny mzozo,messi angeenda au asingeenda km ingepgwa lets say tel aviv hakua na impact 7b hii mechi haikulenga sn abt soka,ina dfrnt agendaBila Messi Argentina ina uwezo gani kucheza Israel?.. Messi ni kama mungu mtu Argentina anaweza amua nani apangwe kikosini nani aachwe!.
Messi alitoa altimatum Icardi aitwe yeye asicheze WC akasikilizwa, Messi alitangaza kustaafu wakampigia magotti abadili maamuzi!. Hiyo ndio nguvu ya Lionel Messi 'La Purga' Argentina.
Lakini nampongeza kuchagua Amani na kutoenda Jerusalem, hao jamaa wakiona imewauma wamfate CR7 kama atakubali kuja cheza Jerusalem.
Kwa Mo Salah ni mbombo ngafu napo😀
Hakuna Taifa teule ambalo limeidhinishwa na Mungu kuua binadamu wasio na hatia na kukalia ardhi isiyo yao kimabavu.Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Wamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na IsraelMessi na Timu yake wamefanya jambo jema.
Ila wasiwe double standard kwa swala la watoto wengi wa Mataifa ya Kiarabu ambao wameuwawa kwa sababu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Uhalifu ni uhalifu tu bila kujali umefanywa na baba au mama mzazi wa mtoto.
Wapalestina hawana uwezo wa kuwadhuru timu ya taifa argentina,hapo messi na wenzake wamewaona wayahudi wauaji,wamedhulumu nchi ya watu na watu katiliWamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na Israel
ha ha ha ha ha ncheke nnenepeTayari washakosa kombe la dunia kwa LAANA..! Nimewaza tu.
Ndio maana bongo hatutoboi..Tayari washakosa kombe la dunia kwa LAANA..! Nimewaza tu.
"...Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasiliana na Rasi wa Argentine Mh Mauricio Macri. Netanyahu alimsihi Sana Macri kuwahimiza uongozi na wachezaji kutokufutilia mbali mchezo huo siku ya jumanne. Macri alimjibu waziri huyo kuwa yeye hawezi kuingilia maamuzi ya mwisho ya chama cha soka cha taifa hilo.Wapalestina hawana uwezo wa kuwadhuru timu ya taifa argentina,hapo messi na wenzake wamewaona wayahudi wauaji,wamedhulumu nchi ya watu na watu katili
Kwao na Israel ni wapi?safi vyovyote iwavyo safi,iwe vitisho au ni safi.hivi ulinzi tunaosifiwa kwamba wanao argentina wameogopa nini.nadhani ujumbe wa messi una ukweli kwa ndani.
Wewe ni mkiristo una uhusiano gani na Yahudi?Yahudi alifukuza waarabu 1948 katika ardhi yao .Acha kufru kafir mkubwa wewe laanatul llahTayari washakosa kombe la dunia kwa LAANA..! Nimewaza tu.
Kwa hio leo unasema kua izrail hawana uwezo wa kulinda nchi ya kwa pambano la daika 90?? Kwa sababu ya palestina?? [emoji23][emoji23]Wamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na Israel
Wanaweza kuwa na uwezo huo, lakini peace of mind do matter. Warabu walivyo watu wa visasi, wangeanza kuwatafta Argentina kokote waliko na kuwashambulia. Yaani kwa mechi ya leo, ingefungua uhasama mpya kati ya Argentina na Palestine.Kwa hio leo unasema kua izrail hawana uwezo wa kulinda nchi ya kwa pambano la daika 90?? Kwa sababu ya palestina?? [emoji23][emoji23]
Na kwa uelewa wako unahisi tunaongelea Argentina kushinda 3 - 0 au kupigwa 3 - 0 !?.. Hapa tunaongelea kitu tofauti suala la Messi kutoitambua Jerusalem kama Capital city ya Israel.Kna point hamuelewi,hii friendly isral hawakuhitaji win or lose neither ao argentina,hii nia yake ilkua ni kuipromote isral ionekane ina mahusiano mazur international na mataifa mengne thru football world,walplan pazur everything dakika ya mwsho ni uamuz wa game kupingwa sehemu yny mzozo,messi angeenda au asingeenda km ingepgwa lets say tel aviv hakua na impact 7b hii mechi haikulenga sn abt soka,ina dfrnt agenda
Kufar Laanatul llahAcha upuuzi wewe, huwezi kuelewa Muktadha uliomo kwenye sentensi yangu sababu ya akili zako ndogo.
Sasa matusi ya nini yahkee? Mimi kwa mfano ni mkristo. Simusapoti Israel kwa sababu ya ukristo wangu, la hasha. Israel wengi bado wanaheshimu uyahudi wao, dini kongwe kuliko Ukristo na Uislam.Wewe ni mkiristo una uhusiano gani na Yahudi?Yahudi alifukuza waarabu 1948 katika ardhi yao .Acha kufru kafir mkubwa wewe laanatul llah
Ndugu we watukana tu. Watudhalilisha GT. Jamaa aliandika comment yenye ujumbe wenye kudhihaki wewe wamtukana. Ungemsoma kwa makini ungemuelewa.Kufar Laanatul llah