Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Ha ha ha Jerusalem city, ilikuwepo, ipo na hakuna wa kuifuta. Al-quds ndo ujinga gani sasa?

Ndugu yangu usicheze na Shetani ni mjinga sana ,kwani haujawai kusikia wakisema Adamu alikua Mwislamu??Dini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 600 baada ya Yesu kuja.
 
Kumbe mmejaribu hadi kubadili jiji la waisrael halikini imebuma? Leo ndo najua haya.

Ubaya hata mtoto mdogo, ukimuuliza Jerusalem, atakwambia na moja ya jiji kongwe la Israel. Ukweli hujitenga na uongo.

Ona mnavyo hangaika

Al-Quds ( Arabic : ﺍﻟﻘﺪﺱ) is the Arabic name for the city of Jerusalem the capital of Palestine, literally meaning "The Holy One" ( quds = holy)
 

Na wanawaonea Palestina kwa sababu hawana msaada wa kijeshi ( hasa silaha) wanaoupata kama wanavyopata wao. Laiti kama wangekuwa na access hiyo kama wao, hali ingekuwa mbaya zaidi kwao, njia zote za kuingiza silaha wanazimulika kutwa kucha 24/7. Maguruneti wanayojitengenezea tu yanawanyima usingizi. Waizraeli wanajificha kwenye kivuli cha taifa teule na kuhalalisha uonevu. Hivi kweli Mungu anaweza kuwa muonevu hivi?
 
Ndugu yangu usicheze na Shetani ni mjinga sana ,kwani haujawai kusikia wakisema Adamu alikua Mwislamu??Dini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 600 baada ya Yesu kuja.
Ha ha ha eti nuhu, musa, eliya wote walikuwa waislam[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Waarabu waliwaua waafrica wote waliopelekwa Uarabuni,waliwaua karibu waafrica wote waliokua Misri,Algeria.Libya,Tunisia na Morocco leo eti ndio wanailaani Israel wakijiona wema,huo ujinga hautakaa uniingie akilini.Nakataa kwa jina la Yesu
 

Hakuna anayeonewa kwa mtu mwenye akili anayejua mambo,Hao wapalestina ni miaka 13 sasa wameachiwa Gaza yote wameshindwa kuanzisha hata serikali.Hawa ni wahuni tuu wa kiarabu.
 
Nikupe mfano mdogo hivi leo red indians wakija wakaanza kuwatoa wamarekani wakidai marekani yote ni yao hivi kuna mtu atawaelewa??

Ukisema israeli kwao ni wapi??
Na mimi ntakuuliza waparestina kwao ni wapi??
Maana waparestina wamezaliwa wanakuta pale ndio kwao kama wamarekani wa sasa hivi tu walivyozaliwa na kukuta america ni yao
 
Kwao ni wapi? Mataifa mangapi ya kiarabu yameungana kuifuta Israel lkn yameshindwa?
 
Jibu ni rahisi, red Indians, marekani wanazuiwa kuingia? Wapalestina kwao panajulikana. Ni misri, tunisia. Algeria, saudia, oman n.k. waachie ardhi ya wenyewe. Kudai mali yako siyo kosa, kosa ni kudai isiyo mali yako
 
Ha ha ha eti nuhu, musa, eliya wote walikuwa waislam[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha,nilicheka sana kile kisa cha mtume wa alla kwenda kuongoza ibada Yerusalem akitokea saudi arabia kwa miguu kwa usiku mmoja alifika Yerusalem na kurudi Macca,yaani ni km zaidi ya 3000,na watu wakaamini .
 
Habari haina ukweli wowote..tatizo mnalazimisha kuficha ukweli na kutuwekea makarabrasha kutoka kwa mashetani/kilaab waliolaaniwa na Mungu mpaka Qiyamah kitakapo simama. Kwaheri mkuu
 
Endelea kuota mkuu.
 

Kila kitu kina mwisho wake...ipo siku kitawapata hao mbwa usichotegemea..Mungu hachezelewi bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…