Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi amefika ukomoni mwa zama zake, hana cha kupotezaSuala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Kwa kua ni nani hao wauwaji?amejimaliza kushindana na Israel
Mchezo wa soka umebeba hisia kali sana kwa mashabiki na kwa wanasoka wenyewe!!!!.....Kwanini Messi akatae halafu aseme atarudisha gharama za mechi? au Messi akikataa ndiyo Argentina imekataa? By the way huo mji wa Jerusalem kwa sasa si unatumiwa na wote wayahudi na wapalestina? Ina maana Messi anawaondolea hao waisrael haki ya kutumia sehemu ya mji wanayoimiliki?
Let us see, maana hao jamaa hawakawii kuanza kumshughulikia ili kumshusha na kumuondolea udhamini kupitia makampuni yao yanayomdhamini Messi. Nadhani hakujua ukubwa wa vita anayoiingia na kama angeijua sidhani kama angethubutu.
Anayesababisha ni Marekani mwenyewe kwa faida yake...Samahani mkuu unafikiri nani anasababisha Israel wanapendelewa hivyo? Unataka kuniambia America wanapata nini kutoka Israel kwa huo upendeleo?
kabisaUTU NI MUHIMU, MENGINE YATAFUATA
UTU NI MUHIMU, MENGINE YATAFUATA
yeye kama mwanadam ameona hivyo ktk upande wa kaisali... hakutaka kushiriki kikombe kile kama pilato alivyo nawa mikonoYa kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe yake.
Wewe ni kafiri tu laanatulaahJe inaondoa uhalisia kuwa Jerusalem imechukuliwa na Israel?
Tafakari kwanza nlchoandika,ibracadabra na icardi wanahusika vp na topic ya hapa?Mkuu hebu rudia tena!! Who is nani!!??
Mie sitaki kujihusisha katika siasa za huko nikawa myahudi wa bongo, ila hapo kwenye who is messi nenda kamuulize ibrahimovic ama kamtafute icardi halafu ndio umuulize who is messi.