Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.

Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
Screenshot_20231025_174452_X.jpg
 
View attachment 2792549
Watu lukuki hao wataje
 
Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.
Alichokifanya kwenye world cup kinajenga msingi mkubwa, mpana na mrefu zaidi wa kutwaa hiyo Tuzo.

Swali linaulizwa, asipopewa Messi apewe nani?
 
Akiijibu naomba unitag. Amtaje huyo mchezaji na mafanikio yake yalomzidi Messi kias anastahili tuzo.
 
Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.
Alichokifanya kwenye world cup kinajenga msingi mkubwa, mpana na mrefu zaidi wa kutwaa hiyo Tuzo.

Swali linaulizwa, asipopewa Messi apewe nani?
Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito?
Kwa sababu kachukua messi?
 
Back
Top Bottom