Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
Kama hutaki mess ashinde mpe yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia mpira acha chuki.Yaani kigezo kiwe kombe la Dunia tu?, HAKUNA mchezaji aliyeisaidia timu yake kuchua kombe la Dunia Kama Messi!!
Halland ana makombe 3 mkononi unakuja unaleta story za kombe la Dunia la kupewa asee!
Fabio cannavaro
luca modric
Fuatilia mpira acha chuki.
Mimi ni team Ronaldo, lakini kwa hili la sasa Messi hana mpinzani, kataa au kubali.
Huwezi kutenganisha moja kwa moja mafanikio ya mchezaji kwenye kombe la dunia na Ballon di'or.
Kama mwaka jana (2022) Messi alitwaa Ballon di'or kwa mafanikio ya Copa America, ni vipi ashindwe kutwaa Ballon di'or 2023 kwa mafanikio ya World Cup?
Hivi unajua, Messi kuwezesha Argentina kutwaa kombe la dunia ndio kilikuwa kilele cha juu zaidi ambacho hakuwahi kukifikia hapo kabla?
Hivi unajua, world Cup iliyopita ilimpa Messi tuzo kadhaa ikiwemo mchezaji bora na mfungaji bora?
Haaland anakosa hizi sifa.
1. Hana trend ya kutisha sana kabla ya msimu uliopita. (Ni vigumu kuibuka moja kwa moja na kutwaa tuzo ya Ballon di'or)
2. Hana kipimo kingine chochote cha uchezaji wake zaidi ya idadi ya magoli aliyoifungia Man City na kutwaa mataji matatu msimu uliopita.
3. Hakufanikiwa kucheza world Cup wakati washindani wake walishiriki.
Mtandaoni mkuuMkuu hizi stats umetoa wapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 Halland Man City tu amepiga goli 52 achilia mbali assist na national team
Kwani Canavaro na Modric kitu gani kilicho wafanya wachukue hiyo tuzo?Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito?
Kwa sababu kachukua messi?
Kwani Canavaro na Modric kitu gani kilicho wafanya wachukue hiyo tuzo?
Okay hafu ww unataka achukue nani hiyo tuzo na kwa vigezo gani?
Kwa hiyo kigezo cha Champion league ndio unatakiwa lazima ushinde ya FIFA? Mbona Verane alishinda Championship na Kombe la dunia why kwa nini hakuchukua kama kigezo ndio hicho?nikuwa unapoteza kumbukumbu ama unazirusha? Modric alishinda Champion League pia kwenye ule msimu
Kwa hiyo kigezo cha Champion league ndio unatakiwa lazima ushinde ya FIFA? Mbona Verane alishinda Championship na Kombe la dunia why kwa nini hakuchukua kama kigezo ndio hicho?
Vp nae Canavaro?
Halafu imeandikwa wapi ukiwa mchezaji bora wa UEFA lazima ushinde tuzo ya FIFA, mbona wachezaji kibao wamechukua tuzo ya FIFA bila kuwa mchezaji bora wa UEFA?
Hakushinda ila alikiwasha mpaka finalnikuwa unapoteza kumbukumbu ama unazirusha? Modric alishinda Champion League pia kwenye ule msimu
Modric alikuwa na UEFA, world cup hakuchukua....Kwani Canavaro na Modric kitu gani kilicho wafanya wachukue hiyo tuzo?
Okay hafu ww unataka achukue nani hiyo tuzo na kwa vigezo gani?
Kwa hiyo ballon dior inahusika na UEFA?Ballon Dior inahusianaje na fifa?
Wampe halland.. kwani mesi amefanya nn msimu huu?Very good question
Huu ni unafiki tuu na wewe ni mshabiki wa Ronaldo.Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Wa kubebwa FC.Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Hata mimi akijibu nitag mastaAkiijibu naomba unitag. Amtaje huyo mchezaji na mafanikio yake yalomzidi Messi kias anastahili tuzo.