Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Yaani kigezo kiwe kombe la Dunia tu?, HAKUNA mchezaji aliyeisaidia timu yake kuchua kombe la Dunia Kama Messi!!

Halland ana makombe 3 mkononi unakuja unaleta story za kombe la Dunia la kupewa asee!
Vip kipindi kile ngola kante kabeba hayo makombe yako mbona hajabeba?
 
Vip kipindi kile ngola kante kabeba hayo makombe yako mbona hajabeba?
We n mpuuzi, tuzo za kishoga hizo wanapewa wawapendao.... Ronaldo amepewa 5 amewahi kushinda kombe la Dunia?, Messi amechukua 8 zote ni kwasababu ya kuchukua kombe la Dunia?. Punguzeni undezi wakishoqer.
 
Back
Top Bottom