Kwani De Lima kwa nini alikuwa anachukua hiyo tuzo (list umeweka mwenyewe) na hajawahi kushinda medali ya UEFA mpaka anastafu.
Kwani ww uonavyo Halaand ana vigezo vipi vya kumshinda Messi ambavyo Messi hana, maana hapa wadau wamekuwekea mpaka reference.
de lima alishinda hivo 2002 ndugu hii ni 2023. KWa sasa Champion league ndio kila kitu, na ndio mana hata Messi na Ronaldo walishinda tunzo huku wakiachwa wachezaji waliopata mafanikio kwenye world cup. Au umepoteza kumbukumbu?